Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
huyo ni wakumuenjoy tuHuwa nasema siku zote mkunya ni MTU wa kiburi na zarau,utaona kwa majibu Yao[emoji2][emoji2][emoji2]
huyo ni wakumuenjoy tuHuwa nasema siku zote mkunya ni MTU wa kiburi na zarau,utaona kwa majibu Yao[emoji2][emoji2][emoji2]
cc Tony254Bado watakwambia wana uchumi mkubwa wakati group lao ni hilo apo la kina Burundi na S.Sudan.
Wewe ni maku,lipa kodi zama za vya bure na uporaji vimeisha..Ndio mana nakwwmbia ww ni mafiii...kama unakaa Dar es salaam kaulizie bei mafuta toka 72 mpka 88000 mpka 90000 kwa dum 20 litre, Ngano ya 25 kg now ni 36500 from 28000 ,Ges toka 18000 kwa mtungi mdgo mpka 22000, mtungi mkubwa 51000 toka 46000, usiongee kusu tozo wala mafuta ya taa,petrol na dizel...algu uko apa kupiga matk kama mwehuu
nahisi hapo siku za mbeleni kuna weza kusimamishwa jengohili eneo la kulia kulipokuwa ofisi za wizara ya maji kwafaa kujengwe nn?
View attachment 1944287
international swimming pool?? kuna miundombinu ya maji ya kutosha hapo na mto pemben
wapo tayar jengo jipya la lililotakiwa kuwa wizara ya maji njia panda ya chuo..
wizara ya maji saiz iko dodoma
Huyo geza naye sometime dish limeyumba ajui serikali inaenda dodoma hivyo baadhi ya ardhi za dar inabidi zitafutiwe matumizi mapyawapo tayar jengo jipya la lililotakiwa kuwa wizara ya maji njia panda ya chuo..
wizara ya maji saiz iko dodoma
Sasa unataka tuseme tuna uchumi mdogo?Bado watakwambia wana uchumi mkubwa wakati group lao ni hilo apo la kina Burundi na S.Sudan.
Wacha ujinga Dar inapanuka na huwezi kusema wauze lile eneo strategic! Nimesema DAWASA inapaswa ku-invest yenyewe! Ulikuwa upumbavu wa hali ya juu Polisi kuuza eneo la Oysterbay Police! Thamani ya lile eneo ingeweza kuipatia loan benki yeyote ile na ku-invest yenyewe! Hata Mungu wenu JPM alikandia deal Police waliloingia! Uko short sighted ndo maana akili yako inakuambia kuuza! Taasisi zinapaswa kujiwezesha kwa assets zilizonazo!Huyo geza naye sometime dish limeyumba ajui serikali inaenda dodoma hivyo baadhi ya ardhi za dar inabidi zitafutiwe matumizi mapya
Unaonaje maendeleo ya battle mkuu.Sasa unataka tuseme tuna uchumi mdogo?
Nimekuwa busy kidogo lakini naona mnaendelea kung'ang'ana. Battle inaendelea vizuri.Unaonaje maendeleo ya battle mkuu.
Pamoja na uzuri wa huu mradi lakini ni muhimu kuzingatia local content
Inajulikana watanzania wengi wamekua mabilionea kwa kuleta mizigo kutoka China na kuuza Tanzania na nchi jirani, kariakoo ni richest District in Tanzania kwa shughuli hii na uchumi unakua vibrant sababu maduka ya kariakoo ni ya wabongo
Sasa huyu mchina analeta maduka 3000 na bidhaa za hapa zitakua ni wholesale kwa bei sawa na China kwa quality ileile au juu zaidi, kama wanataka hii iwe viable na isiathiri uchumi wa importers wa Tanzania maduka 80% yamilikiwe na watanzania sababu wanunuzi kutoka Zambia, Mozambique, Burundi, Malawi, Rwanda, DRC, Uganda wakiona hivi watahama kariakoo sababu wa kariakoo hawataweza shindana na wachina wa ubungo
Hili hali hitaji kukurupuka kwenye sector ya biashara, import ndio kubwa na ndio imeajiri watanzania wengi, ikiwa monopolised na watu wachache (foreigners), wafanyabiashara wengi wa ndani wataumia!
Sababu sisi hatuzalishi, tunategemea tukanunue kwao tuje tuuze tupate kimia 2 maisha yaende, sasa wao wakikaba yote wa tengeneza wao, wasafirishe wao na waje wamuuzie final consumer wao, sasa sisi tuna kazi gani duniani hapa!
Umeongea point nzuri sana hapa mzee.Pamoja na uzuri wa huu mradi lakini ni muhimu kuzingatia local content

Nchi chache sn za Afrika zinazoizidi Tz, ambazo ni baadhi ya African Arabs countries na SA basi, hao wengine wapo nyuma yetu.Chuga at its best , mji mtamu sana huu asikwambie mtu
Nashangaa mafala wanafanamisha Tz na vinchi vya hovyo kama Ghana.View attachment 1944372
View attachment 1944373
Yani umeshasahau kichapo tulichowapa kwenye idadi ya majengo marefu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majengo mafupi sana haya. Jameni mnatia huruma.
Jiheshimu! 😏Hizo space za maduka zinauzwa, nenda pale Ubungo Plaza ukanunue…..au mnataka mpewe bure kama wazawa?