Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
"Kuna mkenya alisema"... Bla bla bla nyingi hazina evidence kando na domo lako! Hakuna lolote, endelea kujiliwaza! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kuna mkenya youtube alisema kabla ya kufika zanzibar alikuwa anadhani kenya ndiyo inafukwe nzuri ila baada ya kufika zanziba kabaki mdomo wazi ajawai kuona fukwe zinangaa na maji safi kama kioo


