Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mim ni Simba... kwenye mashindani ya CAF nataka yanga ifike mbali sambamba na Simba sababu ya nchi.. Yanga nao wakiingia makundi tutawavalisha Visit Tanzania
tatizo Yanga ni mdebwedo meneno na fitna nyingiii! Ati "watapindua meza kibabe" nani kawaambia watakuta meza?
 
Si ndio hapo, hivi kweli kazi ndio zimeisha kiasi hicho mpaka raisi awe na mda wa kurecord series?
Huyu mama ukimcheki vizuri kisaikolojia hasa alipo jaribu kufuata nyayo za magufuli kutatua na kusikiliza matatizo ya wananchi live utagundua kuna damu mikononi mwake inamsuta moyoni anapoteza komfidensi kabisa mbele ya matatizo ya wananchi ,hadi sasa hivi kaacha kabisa kusikiliza matatizo anayakimbia tarehe17/
 
Hii cruise ship terminal yenyu ni ya kifalamanga (kijuakali) sana kama SGR platforms yaani unashuka kwa ship halafu unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unashuka kuchukua luggage! A simple boarding bridge/embarkment bridge similar to airbridge in airports could help!

kronus-passenger-boarding-bridge-16072-9889192.jpg



940420p516EDNmainBridging-the-gap_940x443.jpg


Inanikumbusha SGR Terminal zenyu unaingia unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unavuka rail kwa bridge kabla ya kushuka kwa ngazi kuingia platform!

2929491_AeRHy6G.jpg
these equipment cost money. Slow with time
 
Point of correction Tanzania government ina control sector ya usafiri kwa Ku set standards ikiwemo mfumo wa bei ya ticket, safety na mengine huku huwez ukajitawala unavo jiskia.
this is good. I think Kenya should emulate this
 
this is good. I think Kenya should emulate this
HAKI ZA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA USAFIRI WA NCHI KAVU NA MAJINI KWA MUJIBU WA KANUNI ZA USAFIRISHAJI ZA MWAKA 2007 GN.218/2007
mpaka 2021.

1. Haki ya kurudishiwa nauli chombo cha usafiri kinapochelewa kuanza safari saa mbili baada ya muda uliopangwa kwenye ratiba na tiketi (Kanuni No. 21-(2) ).
2. Haki ya kupewa tiketi ndani ya ofisi ya mtoa huduma ya usafiri husika na siyo vinginevyo (Kanuni ya 17-(1p) na ya 24-(1) ).
3. Haki ya kutonyanyaswa kwa lugha za matusi au vitendo vyovyote kinyume na taratibu au kwa mujibu wa haki za binadamu iwe kwa abiria mtu mzima au mwanafunzi (Kanuni ya 18-(1a,g,h) ).
4. Haki ya kufikishwa mwisho wa safari yaani kituo husika anakoelekea abiria (Kanuni ya 18-(1d) ).
5. Haki ya kutosimamishwa ndani ya chombo cha usafiri (kwa mabasi ya mikoani) awapo safarini (Kanuni 17-1f) ).
6. Haki ya kulipa nauli iliyoidhinishwa na Mamlaka ya SUMATRA na si zaidi ya kiwango husika (Kanuniya 34-1,2,3) ).
7. Haki ya kutoendeshwa na dereva mmoja (kwa mabasi ya mikoani) zaidi ya saa nane (Kanuni ya 17-1g).
8. haki ya kulindwa kwa mikanda ya usalama (Passengers seat belt) wakati wote wa safari (Kanuni ya 17-1i).
9. Haki ya kupata huduma muhimu za usafi, afya na taarifa zinazohusiana na safari yake (Kanuni ya 17-1l,m,n).
10. Haki ya kutolipia mzigo usiozidi kilogramu ishirini kwa mtu mzima na kilogramu kumi kwa mtoto (Kanuni ya 23-1,2).
11. Haki ya kurudishiwa nauli yote abiria pale anapohailisha safari saa ishirini na nne au zaidi kabla ya muda wa safari wa chombo husika kama ilivyoainishwa kwenye tiketi na ratiba (Kanuni ya 24-1,2,3).
12. Haki ya kuhifadhiwa/kutunziwa vifaa au mali ya abiria vinapothibitishwa kusahaulika ndani ya chombo cha usafiri husika (Kanuni ya 38).

13. Haki ya kurudishiwa nauli pungufu ya asilimia kumi na tano tu ya kiasi alicholipa kama ilivyoainishwa kwenye tiketi endapo abiria atavunja safari ndani ya muda chini ya saa ishirini na nne kabla ya muda wa chombo cha usafiri kuanza safari (Kanuni ya 24-3).
 
Walalahoi wengi mibasi ndio usabiri wao mkubwa...
Lkn nchi za watu wenye akili za kubadili badili mambo huaga hawakosi optionsi
Wakenya watu wa kauli mbili sana. Mda si mrefu mlikua mnajipiga kifua baada ya kuona mnaloose sasa mnaleta slogan za sizitaki mbichi hizi. Wee endela tu kusafiria punda, usiseme sikukuonya
 
Huyu mama ukimcheki vizuri kisaikolojia hasa alipo jaribu kufuata nyayo za magufuli kutatua na kusikiliza matatizo ya wananchi live utagundua kuna damu mikononi mwake inamsuta moyoni anapoteza komfidensi kabisa mbele ya matatizo ya wananchi ,hadi sasa hivi kaacha kabisa kusikiliza matatizo anayakimbia tarehe17/
2025 ajikatae tu
 
Yani mtu anakwambia eti wanasafiri sana kisha akileta kitu ni dar tu
DSM ni business hub just like Nairobi!,kukiwa na mzunguko mkubwa DSM haimanishi,Lindi,tanga bagamoyo,bunda,mtwara etc hakuna shughuli zinazoendelea,mfano jinsi watu wanavokuja Nairobi kutoka,marakwet,kitale,muranga,malindi etc wote wanazamia Nairobi?
 
DSM ni business hub just like Nairobi!,kukiwa na mzunguko mkubwa DSM haimanishi,Lindi,tanga bagamoyo,bunda,mtwara etc hakuna shughuli zinazoendelea,mfano jinsi watu wanavokuja Nairobi kutoka,marakwet,kitale,muranga,malindi etc wote wanazamia Nairobi?
Hku sisi sio lazima uzamie nairobi, kwn unafikiria zile interchange na bypass ni za kazi gani...
Kenya imeamua kuondokana na huo dhana ya kila kitu kiwe concentrated nairobi, ndio manake sai magari mengi nairobi yanafanya kupitia kw kando tu
 
Back
Top Bottom