Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

RED HILL- WESTLANDS ROAD






nAofPzW.jpg
kaQuDYs.jpg
wxBjAb9.jpg
Q6ogD0p.jpg
 
Sasa nadhani umeanza kuelewa. Kwenye hili swala la idadi ya raia halihitaji rocket science bali ni control ya maingizo mapya ya raia na waendazao. Na hata Uongozi wenye uadilifu wa kawaida tu unaweza kuachieve hili. Sasa kama raisi anaenda kuuza sura kwenye documentaries unategemea nini
Halafu mwamba umeanza kua na slogan za kikenya, eti kisa nchi fulani ya wazungu imepata changamoto ndio uconclude kuwa utashindwa, hayo ndio mambo the Legend Magu alikua anayakataa
Hili swala ni rahisi Sana, bado nchi nyingi hapa duniani hasa "third word" hatujafikia huko, bado mifumo yetu ya kukusanya hizo taarifa hasa vijijini ni michanga Sana, tunajitahidi lakini bado Sana, kwasasa lazima tutegemee "census" katika kujua idadi ya watu. Mbona mnajifanya Kama ninyi sio waafrika kusini mwa jangwa la Sahara?, Kama hata maji, madawa Hospitalini na barabara & umeme bado hatujawafikia wananchi wote vijijini, vipi mnalaumu serikali katika Jambo dogo Kama hili?, Tafadhali toa mfano kwa kutaja nchi Moja tu ambayo ni "third world" ambayo haifanyi "Physical census".
 
😂 😂 😂
TANZANIA : Leadership Gap That Fails this country.
SEPTEMBER 2021The Citizen (Dar es Salaam)
By Kasera Nick Oyoo

What country are we in, where the minister in-charge of internal security speaks of a Certificate of Marriage as a free pass - thus virtually authorising a fumanizi beating?
There is no direct translation of the Swahili word fumanizi. Suffice it here to say that it usually implies the right to embarrass someone, including unleashing instant punishment on a spouse who is caught red-handed, in the act of betraying their marriage, Indecent jokes?
What country are we in, where a government minister almost casually cracks indecent jokes about Covid-19 vaccinations?
Why would a minister virtually condone chaos in the marital stakes when finding a spouse in a compromising situation is only grounds for divorce?
Why does a district government official take time out to advise men against sucking their wives' breast milk?
A self-styled church bishop is taking on the government over medical matters in which religious faith has no room, claiming that vaccinations are not always effective against pandemics.
Apparently, we are an indecent country that wants to be seen as decent. We are a country in which leadership is known by the huge gulf it causes among the led Narrow-minded.
We are a country in which the leaders are not different from the led: all of us seem to be narrow-minded - as proven by the fact that people at each and every kijiwe and pombe shop almost invariably focus on non-issues.
This explains why bedroom chitchats tend to get very serious traction in our public discourses at the expense of more serious issues that demand public attention.
This is the tragedy of Tanzania. As a soon as a government minister speaks on fumanizi, broadcasting stations just as soon fall in line with the empty talk; this shows how we lack seriousness as a nation.
It's like we are a country of melodrama in a modern-day 'Theatre of the Absurd.' The more people take you seriously, the more absurd it becomes.
And, in such a situation, the nation is unable, unwilling or unready to take the likes of Lands Minister William Vangimembe Lukuvi seriously because he is always focusing on real issues, not theatrics.
The trouble with being a nation that is not serious is that we begin to always look for vents through which our people ventilate... And, it seems, political leaders and ordinary Tanzanians are agreed that trivial talk is the be all and end all for Tanzanians.
 
Sasa nadhani umeanza kuelewa. Kwenye hili swala la idadi ya raia halihitaji rocket science bali ni control ya maingizo mapya ya raia na waendazao. Na hata Uongozi wenye uadilifu wa kawaida tu unaweza kuachieve hili. Sasa kama raisi anaenda kuuza sura kwenye documentaries unategemea nini
Halafu mwamba umeanza kua na slogan za kikenya, eti kisa nchi fulani ya wazungu imepata changamoto ndio uconclude kuwa utashindwa, hayo ndio mambo the Legend Magu alikua anayakataa
African countries dont have capacity ya kupata data in real time kama wenzetu na hata wao bado wanafanya census pia kama Uk wana proper address system kwa kila nyumba lakini bado wanatuma forms za census kwa kila address unajaza number ya occupants including age gender and other indicators. Sasa sisi huku tusiokuwa na hata address za Nyumba zinazotambuliwa na system tunawezaje kupata hiyo information apart from census?
 
Back
Top Bottom