Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewasaidia

Nchi nzima wana companies 36

A List Of Bus Companies In Kenya​

  1. Home
  2. Transportation
  3. A List Of Bus Companies In Kenya
by Linus JumaVisited 11,061 times.
The public transport sector is one of the most lucrative business ventures in Kenya. This has lead to a steady rise in the number of public service vehicle operators in major citis and on major roads interconnecting the different regions of the country. Here is a list of the bus companies in the country:
  • Africa Commuter Services Limited
  • Coast Bus (Msa) Limited
  • Blue Horizon Travels
  • Arusha Shuttle Bus
  • Blue Line Shuttle Company
  • Bustrack Limited
  • City Hoppa Limited
  • Crown Bus Service Limited
  • Dolphin Coaches
  • Dream Line Bus
  • Easy Coach Limited
  • Eldoret Shuttle Sacco
  • Esteem Companies
  • Forward Travellers
  • Gateway Business
  • Grand Bus Service Limited
  • Guton County Link
  • Kampala Coach Limited
  • Kenya Bus Services Limited
  • Mash Bus Services Limited
  • Modern Coast Express Limited
  • Matunda Bus
  • Mololine Prestige Shuttle
  • Mombasa Liners Limited
  • Nyamira Luxury Express
  • North Rift Shuttle
  • Nyaugenya Buses
  • Otange Bus Services
  • Queens Coach
  • Randa Coach Limited
  • Royal Star Bus Limited
  • Simba Coach
  • Starways Bus Service
  • The Guardian Coach
  • Vanga Express Limited
We do have other options for inter-counties mzeyaa..
Kenyans are not lazy, unlike you guys the government controls everything
 
mbona unatuonyesha animation?

the real buscar
91054920_2772381782878781_2716431493185404928_n.jpg
Made in chato
 
Narudia sensa ni upumbavu mtupu huyo geza ulole ni boya mmoja tu
Narudia tena sensa ni upumbavu aina tofauti na BBI ya kenya
Serikali imeshindwa kutoa vitambulisho vya taifa hadi leo sasa kati ya vitambulisho vya taifa na sensa kipi muhimu ,maana vitambulisho vya taifa vingekamilika mifumo kabambe ya nchi ingeweza kuundwa kufanikisha maelfu ya mambo na usalama wa taifa nk
Ukweli ni kwamba vitambulisho vyataifa vina x-paya baada ya miaka 10 baada ya kukipata sasa cheni ya wasiopata vitambulisho na + watakao kuwa vitambulisho vyao vimeisha muda na + wanao fikisha miaka 18 zinakwenda kugongana unajua nini maana yake?
Yani mpka leo hamna vitambulisho
 
Mombasa

Dongo kundu bypass
20210906_203042.jpg
2CshBql.jpg
1631734356692.jpg
1631734234908.jpg
tsunza%202.jpg


Changamwe interchange
1629958257833.jpg
1629139295395.jpg


Makupa bridge
FB_IMG_16317729212094899.jpg
FB_IMG_16317728888289443.jpg
FB_IMG_16317728776299047.jpg
FB_IMG_16317728700136086.jpg


Mombasa port berth 22 & 23
cbl8Bzd.jpg


Kipevu oil terminal
rulWZgz.jpg
3bly521.jpg
iaEqDSZ%20(1).jpg
8yf5SAM.jpg
Ji1WZ2C.jpg


Cruise ship terminal
AeRHy6G.jpg
4wjFEqf.jpg
MMrnILK.jpg
 

Attachments

  • 20210906_203042.jpg
    20210906_203042.jpg
    85.5 KB · Views: 7
  • 1631734234908.jpg
    1631734234908.jpg
    101.1 KB · Views: 11
  • tsunza%202.jpg
    tsunza%202.jpg
    122 KB · Views: 9
  • 2CshBql.jpg
    2CshBql.jpg
    85.1 KB · Views: 6
  • 20210906_203042.jpg
    20210906_203042.jpg
    85.5 KB · Views: 9
  • 1631734356692.jpg
    1631734356692.jpg
    137.5 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16317728601547805.jpg
    FB_IMG_16317728601547805.jpg
    49.3 KB · Views: 6
  • zKmJ8yb.jpg
    zKmJ8yb.jpg
    69.8 KB · Views: 7
Tanzania hakuna option ingine
Km walala hoi ndio wengi sasa mtafanyaje, unafikiria mkiletewa shuttles za mercedes benz dar moro bei mtawezana
Tupe route zina tumia shuttle za Benz🙂
Na option nyingine mnayo tumia🙂
 

Hii cruise ship terminal yenyu ni ya kifalamanga (kijuakali) sana kama SGR platforms yaani unashuka kwa ship halafu unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unashuka kuchukua luggage! A simple boarding bridge/embarkment bridge similar to airbridge in airports could help!

kronus-passenger-boarding-bridge-16072-9889192.jpg



940420p516EDNmainBridging-the-gap_940x443.jpg


Inanikumbusha SGR Terminal zenyu unaingia unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unavuka rail kwa bridge kabla ya kushuka kwa ngazi kuingia platform!

2929491_AeRHy6G.jpg
 
We do have other options for inter-counties mzeyaa..
Kenyans are not lazy, unlike you guys the government controls everything
Point of correction Tanzania government ina control sector ya usafiri kwa Ku set standards ikiwemo mfumo wa bei ya ticket, safety na mengine huku huwez ukajitawala unavo jiskia.
 
Sensor ni muhimu na inasaidia kwenye economic planning na policy creation. Hata wewe ukinunua chakula nyumbani lazina ujue nyumbani kwako kuna watu wangapi ndio ununue chakula kiasi gani.
Sensa ni muhimu kama mifumo yenu ya rekodi za mambo ni mibovu kama mifumo ni mizuri utajua yote unayotaka kuyajua bila ya sensa na kuhusu kupanga matumizi ya nchi
Vitambulisho vya taifa ni muhimu kuliko sensa sasa kwanini tz tulikuwa tunafanya sensa bila ya kujali vitambulisho vya taifa kwa miaka mingi sana je ungeuliza nchi yoyote kubwa hapa duniani wachakue kimoja kati ya SENSA NA VITAMBULISHO VYA TAIFA unafikili wangechagua nini? Viongozi wa tanzania hawana Akili ya priority
Mfano ni gaidi la ccm Hamza alikuwa ana pastora ya baba yake aliye fariki yenye umiliki wa marehemu sasa mfumo wa vifo wa tz ulishindwaje kujua au kuunganishwa na umiliki wa siraha ili mtu akifa tu kama anamiliki siraha uonyeshe na kuthibiti hiyo siraha ,wanangoja ndugu kulipoti polisi kuwajulisha kuwa marehemu alikuwa anamiliki siraha very stupid serikalini kunawatu kibao siyo raia wanaingia kwa kupitia ccm
 
We do have other options for inter-counties mzeyaa..
Kenyans are not lazy, unlike you guys the government controls everything
Da.... nilisahau kukuambia juzi nime download video za nairobi16 yani narudia kuziangalia angalia nimebaki nacheka tu hivi wakenya mnaishi vipi slum wajameni hivi chali anawezaje kupeleka demu kwa slum ?tena nimeshangaa kuona nyumba nyingi kenya zina uhaba wa madilisha yani ni giza na uvundo, nje uvundo ndani uvundo ? Hivi kwanini wakenya amjengi nyumba nzuri yaani slum ya watu milion 1 hakuna hata nyumba moja ya ksh4 milion
 
Michina ndio high-end, alafu a point of correction..kenya imepiga marufuku gari zaidi ya miaka minane kuingia nchini, tafakari ya babu
Kwenye magari mazuri safi ya watu binafsi tanzania tupo vizuri kuliko nchi nyingi africa,katika nchi 4 top Afrika tz tupo ndani wageni wakija tz kitu kinacho washangaza ni uzuri wa magari yetu ,kuna wadada wauganda na kenya walikuja walishangaa kuona magari mazuri yana ngaa wakaanza kuuliza mbona tz gari zote ni new,sababu traffic polisi watz na sheria zetu magari kama ya kenya uwezi kutembea naye sheria za barabarani tz ni makini sana
 
Haya ndiyo niliyokuwa nayasema jana, "Yapi ndo wamefika Afrika", hawawezi kuharibu kwenye ujenzi wa SGR yetu, SADC wanafuatilia na Afrika inaangalia. Hawa mkakati wao ni kulikamata soko la Afrika, kwa kushindana na wachina ambao teyari wameshaweka mizizi.

Kama utakumbuka mbabe Erdoğan alikuja Tanzania, Yapi iliposhinda zabuni ya kujenga SGR. Hawa jamaa wametambua kile wachina walichokiona, kuwa Afrika ya sasa imeamka na kuna pesa ndefu, ila kuipata pesa hiyo inabidi kuwe na win win situation kwa pande zote mbili. Haya ni mambo ya kumnenepesha ng'ombe ili upata maziwa mengi.
Nafikiri inamake sense kuconclude kuwa hataboronga TZ kwakua ni project inayomtangaza
 
Back
Top Bottom