Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_2006.jpg

Inside the BRT Buses
IMG_1991.jpg

IMG_1996.jpg
 
Inside the BRT buses , Hawa jamaa kwakweli wameimprove sana, kwa tunaoishi njia ya mbezi ya kimara unaweza acha ndinga yako kimara ukadandia express hadi cbd au gerezani kariakoo, 25mns unatoboa km 20. Nahisi ni baada ya kuongeza zile 70 buses
IMG_2043.jpg
 
Hivi kwann CCTV hamna? Tanzania tutabaki ku-react baada ya matukio mpaka lini? Ningetemea the whole of BRT kuwa na CCTV hata mabasi ndani yake!

Buses zote zinakuja zimefungwa camera,
So far bado kuna incompetence sana kwenye management ya huu mradi, tangu walipoachana na mfumo wa Kadi na kurudi kwenye tickets za karatasi unaona ni watu wa aina gani. Ukitumia huu mradi unaona a lot of grey areas .. but in time they will keep improving. Kiujumla mradi uko underutilized ukilinganisha na miundombinu iliyopo.
 
Hiyo kampuni ya UDART inatakiwa itolewe!
 
Kwa upande wa buses za kusini nimeziona hapo kampuni tatu kama sijakosea....

Sijaziona kampuni zaidi ya 15 kutokea kusini mwa Tanzania

Seriously Wakenya wanataka kushindana na Tanzania kuhusu Usafiri wa Barabarani!!? Asee wanaumwa vichaa wallah

We linchi kama Tanzania lenye makilometa ya mraba na barabara zenye makilometa ya kutosha ndo ufananishe na Kenya?

Hawajiulizi kwanini tuna advance sana kwenye bus stations!! Why tunajenga vituo vya mabasi vyenye hadhi ya Airports!!? hii yote kwasababu biashara ya usafiri wa barabara Tanzania inalipa na kuna wateja wengi mnooo....

Yaan Kenya you can count zile common routes
NBO - MSA - NBO
NBO - KSM - NBO
na kupitia katikati hapo kwenda Ushagoni na zile fuso zao zenye carry juu
Maeneo mengine ya kenya ni jangwa kame njaa kali sasa nani aende kutembea kule wakati tz nchi nzima ni burudani tu ,kila sehemu kunamvuto wake
 
Wacha kujiaibisha mkuu
Narudia sensa ni upumbavu mtupu huyo geza ulole ni boya mmoja tu
Narudia tena sensa ni upumbavu aina tofauti na BBI ya kenya
Serikali imeshindwa kutoa vitambulisho vya taifa hadi leo sasa kati ya vitambulisho vya taifa na sensa kipi muhimu ,maana vitambulisho vya taifa vingekamilika mifumo kabambe ya nchi ingeweza kuundwa kufanikisha maelfu ya mambo na usalama wa taifa nk
Ukweli ni kwamba vitambulisho vyataifa vina x-paya baada ya miaka 10 baada ya kukipata sasa cheni ya wasiopata vitambulisho na + watakao kuwa vitambulisho vyao vimeisha muda na + wanao fikisha miaka 18 zinakwenda kugongana unajua nini maana yake?
 
census ni muhimu na inasaidia kwenye economic planning na policy creation. Hata wewe ukinunua chakula nyumbani lazina ujue nyumbani kwako kuna watu wangapi ndio ununue chakula kiasi gani.
 
Onyesha huo mradi mbovu wa chini ya kiwango? Ulitaka Alie na kima?
Wewe ndizi mbovu sikia, chini ya kiwango ni pamoja na pesa kuisha pasipo mradi kukamilika ,mambo ni mengi mradi wa kuchakata makinikia umesitishwa kwa sababu ya ufisadi wa mama na team mkwere sasa hivi dhahabu inasombwa kama zamani kwa jina la makinikia
 
Hili mbona toka enzi ya Magufuli?
 
Back
Top Bottom