toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Sure, hawa jamaa kanjanjaHiyo kampuni ya UDART inatakiwa itolewe!
Sure, hawa jamaa kanjanjaHiyo kampuni ya UDART inatakiwa itolewe!
Mkuu hii timu ya mama ni kumvava hamna kitu pale. Funds wanazotumia hapa ni sawa na kujenga barabara ya changarawe then baada ya miaka kadhaa unatangaza tenda mpya ya kujenga lami. Wangeitumia hiyo research kuandikisha nida kwa wasionavyo ningewaona angalau wanaelekeaNarudia sensa ni upumbavu mtupu huyo geza ulole ni boya mmoja tu
Narudia tena sensa ni upumbavu aina tofauti na BBI ya kenya
Serikali imeshindwa kutoa vitambulisho vya taifa hadi leo sasa kati ya vitambulisho vya taifa na sensa kipi muhimu ,maana vitambulisho vya taifa vingekamilika mifumo kabambe ya nchi ingeweza kuundwa kufanikisha maelfu ya mambo na usalama wa taifa nk
Ukweli ni kwamba vitambulisho vyataifa vina x-paya baada ya miaka 10 baada ya kukipata sasa cheni ya wasiopata vitambulisho na + watakao kuwa vitambulisho vyao vimeisha muda na + wanao fikisha miaka 18 zinakwenda kugongana unajua nini maana yake?
kule mnadungwa visivyopungua vitatu!
HaaaaaaAcheni siasa watu tunataka tuenjoy battle


kwani ujui nyani kachoka ulimi upo nje 

Ndiyo tatizo wanachuja mbu na kumeza ngamia mama ana acha mambo ya msingi anajikita kwenye mambo yasiyo ya msingiMkuu hii timu ya mama ni kumvava hamna kitu pale. Funds wanazotumia hapa ni sawa na kujenga barabara ya changarawe then baada ya miaka kadhaa unatangaza tenda mpya ya kujenga lami. Wangeitumia hiyo research kuandikisha nida kwa wasionavyo ningewaona angalau wanaelekea
Kwakua walishafanya sensa miaka iliyopita, wasingekua na haja ya kufanya sensa tena kwakurecord watoto wanaozaliwa, watu wanaokufa, wanaohama na wanaohamia. So ukiloose mtu unatoa kutoka kwenye idadi, ukigain unaadd kwenye idadi .census ni muhimu na inasaidia kwenye economic planning na policy creation. Hata wewe ukinunua chakula nyumbani lazina ujue nyumbani kwako kuna watu wangapi ndio ununue chakula kiasi gani.
Si ndio hapo, hivi kweli kazi ndio zimeisha kiasi hicho mpaka raisi awe na mda wa kurecord series?Ndiyo tatizo wanachuja mbu na kumeza ngamia mama ana acha mambo ya msingi anajikita kwenye mambo yasiyo ya msingi
nomacrdb floor ya juu #jengo jipya View attachment 1940083View attachment 1940084View attachment 1940086View attachment 1940092
😀 Option nyingine anamaanisha punda na magari ya mizigoTupe route zina tumia shuttle za Benz🙂
Na option nyingine mnayo tumia🙂
😀Kumbe hadi wewe unasafiria punda enzi hizi kweli! angalia papuchi isijekomaa tukashindwa kuzamaTanzania hakuna option ingine
Km walala hoi ndio wengi sasa mtafanyaje, unafikiria mkiletewa shuttles za mercedes benz dar moro bei mtawezana
Yaani ikija domestic air travel, Tanzania bure kabisa, now pia road travel wako below bado 😂 😂 😂 .,in Tanzania kama hujui all roads lead to Dar., the only city ya ku hustle, hawana nyingine with meaningful economy, so mkusanyiko wa mabasi in Dar inawapea a false impression eti wanasafiri sana, idiots 😂 😂 😂Sasa mmebaki na empty words after realizing you are behind in terms of domestic travelling 😂😂
Arafu upuuzi anataka kupewa nchi hadi 2030Shilingi yetu itaporomoka kama enzi za kikwete
Hiyo picha ni nini?naona matofari kila upended au ndiyo zile intachenjii zao wanazo tusumbua nazo hapa kila kukicha wakati mambo kwa ground ni tofautwameplan mgomo leo kisa mafuta kupanda bei



Walalahoi wengi mibasi ndio usabiri wao mkubwa...😀Kumbe hadi wewe unasafiria punda enzi hizi kweli! angalia papuchi isijekomaa tukashindwa kuzama
Yani mtu anakwambia eti wanasafiri sana kisha akileta kitu ni dar tuYaani ikija domestic air travel, Tanzania bure kabisa, now pia road travel wako below bado![]()
![]()
.,in Tanzania kama hujui all roads lead to Dar., the only city ya ku hustle, hawana nyingine with meaningful economy, so mkusanyiko wa mabasi in Dar inawapea a false impression eti wanasafiri sana, idiots
![]()
![]()
![]()
Ni wivu tu inakusumbua., nothing more..,Hii cruise ship yenyu ni ya kifalamanga (kijuakali) sana kama SGR platforms yaani unashuka kwa ship halafu unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unashuka kuchukua luggage! A simple boarding bridge/embarkment bridge similar to airbridge in airports could help!
![]()
![]()
Inanikumbusha SGR Terminal zenyu unaingia unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unavuka rail kwa bridge kabla ya kushuka kwa ngazi kuingia platform!
![]()
We wafanya mchezo, kuna jamaa anapiga sio kw ubaya bana..wameplan mgomo leo kisa mafuta kupanda bei