MY bad kumbe mzanzibari mwenzie, angekua Magufuli kaweka mtu wa hivyo wangesema sukuma gang wale kinashangazi
Yapi hajatoa rushwa kulobby tenda sababu anataka kuipendezesha Tanzania sana bali wapo kibiashara zaidi sababu hawajengi bure matokeo yake kwenye mazingira kama haya sababu wametoa unbeatable offer ni kwamba sehemu ambapo kitaalam ni mifuko 20 ya cement watataweka 7
Kituo ambacho design na mahitaji ni 10k sqm watafanya 5k sqm, mfanyakazi alitakiwa alipwe 2 million per month na safety atalipwa 600k miguu peku hii yote ni kupunguza gharama ili kucatchup na unbeatable price na kujipatia faida kubwa zaidi
Matokeo yake minimum lifespan ya mradi ilitakiwa kuwa miaka 100 inaenda kuwa miaka 40, yote hii ni kuweka vilaza kwenye nafasi wasizostahili!
Pale matumbo yanapochukua nafasi ya akili, tutaona mengi!