Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
cause madam President gave a dadeline on that aside rural electrification that the progress is in a sorrow state!
kelele bungeni kwenye budget ya nishati huwa zinakua kwenye lipi? Au unajitoa ufahamu? Na Mchuchuma na Liganga?kwenye rural electrification usiongee usichokijua.. everything is in good state
pia kwenye hio LNG you mean unamforce mwezekaji muelewani kwa kila kitu unachotaka na yeye anachotaka ndan ya miezi sita? what if mwekezaji kajipa mwaka mzima?
Wakunya wengi Hali ni ngumu kwa ground hiyo ndo reality.Reactions za wakunya wenye akili zaoView attachment 1937586View attachment 1937587View attachment 1937588
taja hizo kelele afu angalia na hela iliyotolewa ni kwa ajili ya wapi?
Good maana mimi na wewe tukibishana ni kupoteza muda unataka kuniaminisha kaonewa na wizara ya nishati si mradi wa JNHPP pekee kuna miradi chungu nzima kuanzia makaa ya mawe (hamna makubaliano na waliopewa vitalui vya uchimbaji), gesi (kinyerezi II haijaisha) na pia vyanzo vingine (jua, joto ardhi n.k.)wacha nikuache na unavyoamini
ukipewa dadeline unapaswa kutoa mrejesho!nimekuacha si kwa sababu nimekubaliana na hio post ulioleta.. probably hujui uhalisia.. afu husemi katumbuliwa sababu gani.. mara unarukia hili mara hili jingine... you mean he was worst in all those projects?
FYI, kwenye REA, believe it.. he was the best one kufatilia miradi ya REA..
kinyerezi II haijaisha nn na mim nipo huko???????
😅 😅 🤷♂️ 🤷♂️unajua kuwa tunaongea REA umeleta post ya TARURA!![]()
Huu shindeni yule jamaa wa Egypt alisema usafiri kwenu tabu ndio maana mpo vizuri kwenye hiyo sector
Binafsi nilisikitika alipotolewa ujenzi, ila Magu alisema alikuwa mpole sana, sekta hiyo inabidi uwe kama Aggrey Mwanri vile.Mbarawa kashatia mguu![]()
man kashavurunda huko,,formation siyo rafikiNimeweka mpunga Wa maana hapa na nitajipatia pesa ya kunywea bia taifa siku ya Simba Day
aya hayadondoki kama ya Nairobi!