Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
.
Ona venye barabara zenu are of low quality, alafu mlisahau mambo ya road markings🤣🤣😂Wakuu hii footbridge ya pale Mbagala Rangi tatu mbn sijaielewa? Ndefu mnooView attachment 1936492View attachment 1936493
Ukitaka kujua Moro pako busy nenda kuanzia ijumaa hotel, lodge kama ujafanya booking mapema unaweza kosa pa kulala. Nadhani kuna watu wanaendaga kupumzika wikiend moroNdio maana huwa wanashangaa tunaanza route ya SGR Dar Moro mahesabu wanapiga kulinganisha na kwao. Sisi huku tunasafiri sana kila siku.
Serikali ya Kenya inamiliki only ndege 3 chakavu kwenye KQ.Ni ya Magufuli.
Wakuu hii footbridge ya pale Mbagala Rangi tatu mbn sijaielewa? Ndefu mnooView attachment 1936492View attachment 1936493
Ngoma inasonga kwa kasi, sijaweza kuchukua picha zaidi mana nilichoka sana.Hvi mradi umefikia wapi huko rangi tatu maana hawa wachina wamechukua mda mrefu
KQ is not controlled by the government you fool😂😂.Serikali ya Kenya inamiliki only ndege 3 chakavu kwenye KQ.
You are such a dumb person most times...and still exposing your dumbness...so without any prove unaumua kukataa that road is not U/C?..while it is . nyie mnafungaga all lanes za zamani kukiwa na ujenzi sioUnatetea ujinga. It's obvious hakuna ujenzi unaendelea hapo, that road is in use and that's why you can see the daladalas, bicycles and pikipiki using it.
We jamaa kwa kulazimisha usiyoyajua haujambo duh, uwe hata na aibu sasa.. ujuaji wa vipi huo wako.? Hapo Pana ujenzi wa BRT phase two unaendelea, DSM hakuna high way iliyoisha ujenzi alafu ikawa chafu hivyo.. nimekwambia andaa nauli, Accomodation ntakulipia mimi uje utoe tongo tongoUnatetea ujinga. It's obvious hakuna ujenzi unaendelea hapo, that road is in use and that's why you can see the daladalas, bicycles and pikipiki using it.
Wanaojenga hapo siyo wachina kweli? Maana ndo zao hizo kama sgr ya KenyaWakuu hii footbridge ya pale Mbagala Rangi tatu mbn sijaielewa? Ndefu mnooView attachment 1936492View attachment 1936493
Chuki zako ni bure!!From day one, nilisema huyu Maza ni boya baadhi ya watu walinitusi.
Sasa Maza kalithibitisha hadharani, kipindi chote cha miezi 6 alikua anajifunza.
Miaka 5 aliyokua VP alikua anafanya nini?
Maza ni boya. Pia, chaguo la Stergomena Tax kuwa Waziri wa ulinzi lina ukakasi.
Uliachia ni mzawa wa Tanzania akichanganya mzazi Mtanzania na mgeni, pia nasikia kazaa ama kaolewa na kiongozi wa Rwanda.
Kama ni kweli, anapewaje wizara nyeti ya ulinzi?
Na ita control vp wkt ina ndege tatu chakavu kwenye shirikaKQ is not controlled by the government you fool.






Au sioUnatetea ujinga. It's obvious hakuna ujenzi unaendelea hapo, that road is in use and that's why you can see the daladalas, bicycles and pikipiki using it.









Kwa huu ubishi uyu ni 2kimo (dwarf).
👆🏽👆🏽👆🏽 we 2kimo join hiyo link ujione vitu vingine vipya kutokwa kwa Abood bus service.
Vipicha vya kuokota havikusaidii kitu, mmeshindwa kuleta Fleet hata ya gari 2 mmeanza kuiba pictures Google, leta video kama unataka tuelewane!Vitu vya region to region View attachment 1936516
Huu ni moja ya miradi ulimtoa Dr Chamuhiro ukiachia mradi wa Msalato airport na ringroad Dodoma! TANROAD inapwelea sana sasa!Wakuu hii footbridge ya pale Mbagala Rangi tatu mbn sijaielewa? Ndefu mnooView attachment 1936492View attachment 1936493
Ujenzi umekaa kikenya kenya.Huu ni moja ya miradi ulimtoa Dr Chamuhiro ukiachia mradi wa Msalato airport na ringroad Dodoma! TANROAD inapwelea sana sasa!