Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba one shot Nairobi chalii majengo yao yote haya hapa kasoro lile prism kama kitumbuaView attachment 1937443

DAR YOOTE! nje ya hapa hakuna cha maana.., 😂 😂 😂 😂 😂
1631629712970.jpeg


ila Nairobi kwa hiyo picha hakuna hizi 👇 sehemu.., Dar ukipata any meaningful area kama hizi👇👇 zaidi ya hii👆👆 kindly tag me..,
Kilimani..,
1631629860247.png

Lavington
1631629965013.jpeg
 
Sasa mbn unataja cjui West cjui mavi gani, wkt picha moja inaonyesha Nairobi nzima View attachment 1937490
Onyesha tu Kilimani kwa hiyo picha? Eastleigh? Eastlands area?
Parklands area?
Ngara?.., 😂😂😂😂 utapata tabu.,

Nairobi sio size yenyu.., zaidi ya hapa👇👇 hakuna cha maana Dar, all best places and buildings ndani 😂 😂 😂 😂 ama kunayo sehemu nyingine zaidi ya hapa unionyeshe? ukipata nahama jf sasa hivi...,
1631630456734.png
 
Hivi nyie watu humu mnaoambiwa daily hili sio jukwaa la siasa mbona hamtaki kuelewa!

Na nyie mnaowaquote ndio mnasababisha wazoee kuleta leta siasa humu.

Niko sure 100% hata wewe unayesoma hapa ikitokea siku umepata madaraka makubwa ni lazima tu uweke watu wako upende usipende.

Kuna mambo yapo nyuma ya pazia hamjui mpo kuraruana daily humu.

Ni kweli JPM kafanya vitu vingi vizuri (mpumbav pekee ndio atakayebisha) ila sasa embu jaribuni kumove on.

Rais SSH ni rais wa JMT na nitamuheshimu kama rais ya JMT...hizi lugha za matusi mnazotumia humu embu kuweni na heshima basii.
Hakuna aliye perfect...hata awamu iliyopita ina madudu yakee.
ni kweli kabisa
 
Hehehehehee unajifariji kwa kuchukua picha ya kitambo, huo mji unabadilika kila inapoitwa leo, hapo kuna majengo hayakuwepo pia na road haikuwa 6-8 lane kama hii niliyokuonyesha kwa arrow ya blue kwenye picha View attachment 1937461
Mjinga anaona kabisa hiyo barabara iko u/c lakini bado kashikilia bango sijui "tarmac"
 
Onyesha tu Kilimani kwa hiyo picha? Eastleigh? Eastlands area?
Parklands area?
Ngara?.., utapata tabu.,

Nairobi sio size yenyu.., zaidi ya hapa hakuna cha maana Dar, all best places and buildings ndani ama kunayo sehemu nyingine zaidi ya hapa unionyeshe? ukipata nahama jf sasa hivi...,
View attachment 1937496
Wacha uongo, Nairobi maghorofa yapo west, kilimani na CBD
Screenshot_20210914-174939.jpg
 
Mpk leo huwa najiuliza hawa wakunya walikuwa wanajiamini nn kusema wako mbele ya Tz kwa infrastructures, Mana mpk leo miji yao ina mapori kama zamani tu.
Huwa wanakaririshwa na kudanganywa shuleni kuwa wao ni bora kuliko Waafrica wengine, eti wao wameendelea kuliko Waafrica wengine.
Kuna tweet nilishawahi kupost humu mkenya akiweka wazi ujinga wanaokaririshwa shuleni.
 

Nchi inayo jitambua ukanda huu.., we will rule Africa!​


Uganda offers free land and tax incentives to Kenyan investors

NEWS
By Joackim Bwana | September 13th 2021​

lgrg27jslevid3xyt613e3b5abf246.jpg

Mombasa Governor Ali Hassan Joho (left), Ugandan Agriculture Minister Bright Rwamirama (centre), and CS Industrialisation Betty Maina (second right) open a two-day Kenya-Uganda agri-business symposium in Mombasa. [Omondi Onyango, Standard]
Ugandan government officials have promised free land and tax incentives to Kenyan investors who want to set up processing industries in the land-locked country.
Ugandan Agriculture State Minister Bright Rwamirama said the country has large tracks of land and farm produce, noting that investors only need to set up industries to process and do value-addition on the farm produce.

Mr Rwamirama said Uganda requires 20 tea processing plants to cover the surplus tea and package it for the international market. He reckons that the business climate is good - from production to post-harvesting and value addition.
He said the country also needs modern storage warehouses to address post-harvest wastage. “When we call you to come and invest, we will also help you find a new market. We provide cheap credit to farmers... and Kenyans who invest in Uganda will get credit at the same rates as Ugandans,” explained Rwamirama.

READ MORE​

How manufacturing fell off its lofty perch
Revamped rail from Naivasha to Malaba nears completion
Use technology to lure young people in Africa to farming
Kenyan, Nigerian firms secure Sh165m grant to boost farming

He said the Ugandan government has invested in research, production system, industry, and primary processing to offer valuable information to both farmers and investors.
mjenxkpcfyb9fmfcnq613e9434a5e9d.jpg

Mombasa Governor Ali Hassan Joho [centre], his deputy, William Kingi
, and Minister of State for Agriculture - Uganda, Bright Rwamirama.​
[Omondi Onyango,Standard]
“So if you want to invest in these areas, we will show you how to invest and there are incentives available,” said the minister.
Ugandan State Minister for Investment and Privatisation Evelyn Anite said 25 industrial parks across the country will be given free of charge to Kenya investors.
Anite said the investors will also enjoy nine tax incentives once they incorporate their businesses either in Uganda or Kenya. “We give you free land in our 25 gazetted industrial parks across the country without any conditions. You just have to incorporate your business in Nairobi or Kampala,” said Anite.
She said those who will be importing advanced machinery will also enjoy free import duty. The investors are also assured of a ready market as the government will vouch for their manufactured commodities.
“We are looking for strategic partners to add value to our minerals,” said Anite. She asked investors to get into the water logistics because the two countries connect easily through Lake Victoria. “Chose Uganda as your investment hub because we are close to you and we can be able to develop together,” said Anite.
bmjqxevklyzm2obcbk2u613e963a3b4ee.jpg

Evelyn Anite (right) at the Kenya Uganda Agri-business Symposium. [Courtesy]
Minister of Trade, Industry, and Cooperatives Uganda Walakira Godfrey urged Kenyan investors to invest in the coffee sector which is the most traded commodity globally after oil and gas. He said Uganda is the number one coffee exporter in Africa but it still could not meet the global demand.
Walakira said the figures are good and they cannot go wrong with farmers getting Sh150 per Kilo. “In Uganda, your number one thing to invest in is coffee. We invite investment into the coffee value chain as we seek to produce instant coffee. We produce seven million bags per annum yet the target is 20 million bags in the next five years,” said Walakira.
Fresh Produce Exporters Association of Kenya Chief Executive Officer Hosea Machuki said Kenya is the lead exporter of Avocado and is willing to share market information with Uganda to fill the deficit on the global market and march Mexico. He also said Kenya is also struggling to meet the export demand for sweet potatoes.​

Foolish, so they are having symposia in Nairobi na watu wanakufa njaa turkana
 
Back
Top Bottom