Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In April 2021, Kenya agreed to help DRC revive their airline. Today KQ has leased some planes to the Congolese airline. Hivi ndio huwa tunaanza kuteka nchi za Africa, Tanzania, Uganda, Rwanda and S.Sudan is already under our belt.

Ndege za mkopo cant afford to stay idle gharama huwa kubwa no option zaidi ya ku lease in fact the heading should have said Congolese carrier helps KQ to offset plane leasing cost.
 
Do you know the meaning of investors...sio nyie jua kali wa apo kwa nyumba za suti kibera
wivuuu.., Kenya is not Tanzania where investors ni waarabu na wahindi pekee, nyinyi wengine ni kukenua meno na kupiga vipicha muki post.., jiangalie wacha wivu 😂
 
wivuuu.., Kenya is not Tanzania where investors ni waarabu na wahindi pekee, nyinyi wengine ni kukenua meno na kupiga vipicha muki post.., jiangalie wacha wivu [emoji23]
Naona ukijiongelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fukara wa kibera...sasa jiulize kwanin Tz kuna millionaires wengi?
 
Ngurue ni ngurue ata ukijaribu kupaka rangi na kugeuza angle, haubadilishi ukweli na uhalisia., 😛 😂 😂 😂 😂 njia za vumbi na low life residentials..,
View attachment 1937310

View attachment 1937308
Most of you wish to be Tanzanians/others are already Tanzanians immortality


Screenshot_20210914-152357~2.png
Screenshot_20210914-152357~2.png

 
Kwani kuwa against previous regime ndio lazima awe against this regime? Regime iliyopita ilikuwa hovyo na haishirikishi,inaenda kwa matamko ,mihemko na vitisho sasa uongozi gani huo.
Wewe huna akili, unaposoma soma vizuri.

I said nothing of "being against". I spoke of "conspiring against".

Hope the distinction is pretty clear and well noted.
 
Mama ana haki ya kuweka mtu anayemtii pia kama JPM alivyopangua na kuweka wanaomtii tena wa kanda yake! Tuache kuhukumu na kudhani wale wa JPM ndo wanafaa tu! Nyie watu wa kanda msitufanye sisi wapumbavu kutetea ulaji wenu hii nchi yetu soote, waacha anyoroshe.....!!

Nakubali [emoji817]
 
Huyohuyo Kalemani kashindwa kurudisha negotiations za LNG Lindi na alipewa miezi sita! Mama ana haki ya kuweka mtu anayemtii pia kama JPM alivyopangua na kuweka wanaomtii tena wa kanda yake! Tuache kuhukumu na kudhani wale wa JPM ndo wanafaa tu! Nyie watu wa kanda msitufanye sisi wapumbavu kutetea ulaji wenu hii nchi yetu soote, waacha anyoroshe.....!!

What empirical evidence(s) do you have to substantiate your claim that the negotiations of LNG was the reason?
 
Hivi nyie watu humu mnaoambiwa daily hili sio jukwaa la siasa mbona hamtaki kuelewa!

Na nyie mnaowaquote ndio mnasababisha wazoee kuleta leta siasa humu.

Niko sure 100% hata wewe unayesoma hapa ikitokea siku umepata madaraka makubwa ni lazima tu uweke watu wako upende usipende.

Kuna mambo yapo nyuma ya pazia hamjui mpo kuraruana daily humu.

Ni kweli JPM kafanya vitu vingi vizuri (mpumbav pekee ndio atakayebisha) ila sasa embu jaribuni kumove on.

Rais SSH ni rais wa JMT na nitamuheshimu kama rais ya JMT...hizi lugha za matusi mnazotumia humu embu kuweni na heshima basii.
Hakuna aliye perfect...hata awamu iliyopita ina madudu yakee.
 
Ngurue ni ngurue ata ukijaribu kupaka rangi na kugeuza angle, haubadilishi ukweli na uhalisia., [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njia za vumbi na low life residentials..,
View attachment 1937310

View attachment 1937308
Umeona hizo picha mbili zinavyotofautiana kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Now CBD yenu inafanana na Victoria na bado Victoria inakaa Ulaya, macho hayaongopi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums591883702.jpg
JamiiForums-1104282568.jpg
 
Kwenye hiyo shot Tower zao kali zote isipokua Prism tower, zote zinaonekana hapo.
Kwamba one shot Nairobi chalii majengo yao yote haya hapa kasoro lile prism kama kitumbua[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums591883702.jpg
 
Pia mimi nimeona ni ulaya kweli.., filters,, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1937440
Hehehehehee unajifariji kwa kuchukua picha ya kitambo, huo mji unabadilika kila inapoitwa leo, hapo kuna majengo hayakuwepo pia na road haikuwa 6-8 lane kama hii niliyokuonyesha kwa arrow ya blue [emoji838] kwenye picha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210914-172325.jpg
 
Back
Top Bottom