Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio kilichomuondoa waziri?
Halafu Mbona Majaliwa alikua anaipigia chapuo sana Yapi kiasi kwamba kila akitembelea site (nafikiri hakuna kiongozi alie tembelea sgr mara nyingi kama yeye) alikua akisema lazima vipande vinavyobaki Yapi wapewe

Ilikua inanishangaza sana sababu utaratibu wa kutoa tenda unajulikana ni wa ushindani lakini majaliwa alikua anarudiarudia nimemkariri zaidi ya mara 4 akisema hivyo!

Anyways hii nchi saivi wala sina shughuli nayo iende iendavyo!
 
Huwezi kusinglesource supplier wa tenda kubwa ya matrilioni ya pesa bila rushwa na ufisadi, tulikua Tunawacheka wakenya sgr yao pesa kubwa kwa ground uozo mtupu lakini huko ndio tunaelekea

Yapi wametoa rushwa kubwa ikulu ili wachaguliwe wao na automatically lazima watakua wametoa cheapest unbeatable offer thus serikali/consultant atakosa nguvu ya kusimamia ubora kutoka na mazingira ya upatatikanaji wa mkandarasi

Duh aisee tunapoelekea Tanzania inaenda kuwa kituko na fedheha, tena January ndio kawekwa hapo mtu asie na exposure yoyote kwenye mambo ya ujenzi, critic by nature, January na Ujenzi wapi na wapi au kawekwa kusimamia maslahi ya aliemuweka! Inasikitisha tunapoelekea kwa kweli!
 
waziri atakaesimamia ni mbarawa sio january labda umeme.. hayo ya single tender yalipigiwa chapuo sana na MD (ajiangalie pengine hana mda hapo) na labda waziri..
 
We kubali tu hujui km sacco's zinafanyaje, km wataka elimh sema upewe

sacco ni mikopo kwa wana-ushirika...
Screenshot 2021-09-14 071210.jpg
 
waziri atakaesimamia ni mbarawa sio january labda umeme.. hayo ya single tender yalipigiwa chapuo sana na MD (ajiangalie pengine hana mda hapo) na labda waziri..
MY bad kumbe mzanzibari mwenzie, angekua Magufuli kaweka mtu wa hivyo wangesema sukuma gang wale kinashangazi

Yapi hajatoa rushwa kulobby tenda sababu anataka kuipendezesha Tanzania sana bali wapo kibiashara zaidi sababu hawajengi bure matokeo yake kwenye mazingira kama haya sababu wametoa unbeatable offer ni kwamba sehemu ambapo kitaalam ni mifuko 20 ya cement watataweka 7

Kituo ambacho design na mahitaji ni 10k sqm watafanya 5k sqm, mfanyakazi alitakiwa alipwe 2 million per month na safety atalipwa 600k miguu peku hii yote ni kupunguza gharama ili kucatchup na unbeatable price na kujipatia faida kubwa zaidi

Matokeo yake minimum lifespan ya mradi ilitakiwa kuwa miaka 100 inaenda kuwa miaka 40, yote hii ni kuweka vilaza kwenye nafasi wasizostahili!

Pale matumbo yanapochukua nafasi ya akili, tutaona mengi!
 
Huoni kuwa wakivurunda watajiharibia wenyewe? Hawa waturuki ndo wamefika Afrika, nchi nyingi sana zitataka wawajengee reli baadae na kipimo chao kitakuwa Tanzania. Si unaona wanavyorekodi kila mwezi maendeleo ya kazi yao youtube? Biashara matangazo.
 
10 out of 100, maybe!
 
Waangalie tu hiyo single tender i-reflect kwenye cost za ujenzi na ningependa nijue watapewa ngapi! IMHO bidding was the way forward regardless of time needed for mobilization! Kuondolewa kwa Chamuhiro kuna harufu ya lobbying forces zilizomshinda maana amekuwa polepole sana kwenye kuamua! Hawa Yapi Merkezi wali-bid kwa gharama kubwa sana Mwanza-Isaka! Na hata hizi bidding zao za kujenga LOT3 294 km electrical SGR Makutupora-Tabora with only 74 km of siding na LOT4 130 km electrical SGR Tabora-Isaka with only 35km of siding hazijakaa sawa ikumbukwe the land is flat towards lake Victoria from Makutupora, CCECC wame-offer longer passing loop for Mwanza-Isaka electrical SGR. Sidhani kama ni wa kuwapa upendeleo wa kupewa tender bila ku-compete labda kama wata-offer kujenga the 2 lots for a total price isiyozidi $2.5 bln na with a healthy package i.e. longer passing loops (lot3 over 100km and lot4 over 50 km) and more amenities like more SGR Terminals and a marshalling yard! It's a mistake kufanya hivyo halafu kuwa over-charged! lazma washindanishwe! 🙏
 
Wewe ni mtu wa bodaboda?😂😂 Again thanks for confirming that Tanzanian roads are of low quality with no markings. From your pictures it's only a section of the road ndio iko under construction, the remaining part is pathetic.
 
MY bad kumbe mzanzibari mwenzie, angekua Magufuli kaweka mtu wa hivyo wangesema sukuma gang wale kinashangazi

Yapi hajatoa rushwa kulobby tenda sababu anataka kuipendezesha Tanzania sana bali wapo kibiashara zaidi sababu hawajengi bure matokeo yake kwenye mazingira kama haya sababu wametoa unbeatable offer ni kwamba sehemu ambapo kitaalam ni mifuko 20 ya cement watataweka 7

Kituo ambacho design na mahitaji ni 10k sqm watafanya 5k sqm, mfanyakazi alitakiwa alipwe 2 million per month na safety atalipwa 600k miguu peku hii yote ni kupunguza gharama ili kucatchup na unbeatable price na kujipatia faida kubwa zaidi

Matokeo yake minimum lifespan ya mradi ilitakiwa kuwa miaka 100 inaenda kuwa miaka 40, yote hii ni kuweka vilaza kwenye nafasi wasizostahili!

Pale matumbo yanapochukua nafasi ya akili, tutaona mengi!
Wewe acha ubaguzi! Kumbuka Prof. Mbarawa ndiye alisaini mikataba mingi ya Wizara kabla ya kutolewa pale! Na kama alifanya madudu mbona hayajesemwa, kwangu mimi speed yake haijafikiwa na yeyote aliyekuja baada yake! Kosa la JPM ni kupanga watu wake wa kanda pale na kujiona wao tu ndo wanaweza na kuanza ukiritimba! Kuanzia CEO wa TPA mpaka watendaji wengine wa TANROADS walipangwa jamaa wa kule na kukaanza ulaji, kumbuka mradi wa Ring road Dodoma umesainiwa zaidi ya mwaka na fedha zilitolewa na AfDB na mkandarasi kupatikana ila mpaka sasa haujaanza! haikubaliki!
 
Back
Top Bottom