Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kuwa against previous regime ndio lazima awe against this regime? Regime iliyopita ilikuwa hovyo na haishirikishi,inaenda kwa matamko ,mihemko na vitisho sasa uongozi gani huo.
Wewe nawewe ndiyo majizi mmerudi kazini, tena mmerudi kwa kasi kuwanyonya wananchi kwa speed ukubwa sana lakini nyinyi dawa yenu ni moja jino kwa Jino, na msituone watanzania wajinga sana,soon dawa yenu itawaingia
 
🖕🖕😄😄😄 Punguani hili..
 
Haya majizi si ya kuchekea ,wanawaona watanzania ni wajinga sana wehu sana, lakin hatuwez kuwa wazalendo kwa namna hii never, nchi ya tozonization na undugunization,yamekaa kujadili namna gani ya kumpora raia wa kawaida
Mlipokuwa mnateuana watoto wa shangazi na wajomba huku mkiibia nchi mlidhani mtadumu Milele?

Lipa tozo nchi isonge mbele sio kubwabwaja upumbavu kama wanaku 🖕🖕
 
Mlipokuwa mnateuana watoto wa shangazi na wajomba huku mkiibia nchi mlidhani mtadumu Milele?

Lipa tozo nchi isonge mbele sio kubwabwaja upumbavu kama wanaku 🖕🖕
Wewe ndio hayo majizi mnaopola Mali za wananchi, soko la mazao yao hamuwatafuti, kazi yenu ni kupola fedha za wananchi wanyonge, ila jueni mwisho wenu ni mbaya ,mtakosa mahali pa kuikimbia nchi hii
 
Wewe ndio hayo majizi mnaopola Mali za wananchi, soko la mazao yao hamuwatafuti, kazi yenu ni kupola fedha za wananchi wanyonge, ila jueni mwisho wenu ni mbaya ,mtakosa mahali pa kuikimbia nchi hii
Sasa hivi tunawapiga dole🖕🖕 tuu timu legacy 😆😆..
 
Ngurue ni ngurue ata ukijaribu kupaka rangi na kugeuza angle, haubadilishi ukweli na uhalisia., 😛 😂 😂 😂 😂 njia za vumbi na low life residentials..,
1631621685400.jpeg

1631621533366.jpeg
 
Back
Top Bottom