Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,218
- 4,043
Watakaa saana,acha wasubirie Amri ya mabwana zao.iko bomba sana clean yaani hawa nyang'au wacha waendelee na ndoto zao hiyo ni kiboko yao
Watakaa saana,acha wasubirie Amri ya mabwana zao.iko bomba sana clean yaani hawa nyang'au wacha waendelee na ndoto zao hiyo ni kiboko yao
KLM ikitua hyo tarehe 30,...watapata adabu.Waendelee kupiga kelele sisi tunapiga Kazi
View attachment 1484983
Yeah hasa ukiwa na migodi kma SA..migodi inatumia sana umeme plus viwanda i see us having 4000 mw in 2024/25Kwenye suala la umeme naona kabisa tunaenda mwendo mzuri...izo 5000MW yanawezekana zikapatikana before 2025
Kila nikiwaza RSA Wana 50000MW na haziwatoshi naona kabisa kazi bado
Ila tuna hazina kubwa ya rasilimali za umeme,,,RSA umeme wao mwingi ni wa Uranium,...na sisi tuna Uranium.....achilia mbali Mikoa kama Singida,Kilimanjaro(Same)kuna mikondo ya upepo....for the future Taifa letu litawekeza Uko... inatakiwa hawa Makunyaland wawe supplied na sisi kwenye hii secta ya stima.Kwenye suala la umeme naona kabisa tunaenda mwendo mzuri...izo 5000MW yanawezekana zikapatikana before 2025
Kila nikiwaza RSA Wana 50000MW na haziwatoshi naona kabisa kazi bado
Wow man T3 is so damn coolWaendelee kupiga kelele sisi tunapiga Kazi
View attachment 1484983
Dalili zote za kuwatupa kiuchumi zipo wazi na raia wao washaujua ukweli, ndio maana cku hz hawaishi kutuzungumzia wana hofu mno.Kumbe huu ndio ujinga wanaofundishwa shuleni!
Ndio maana wana akili fupi,
Point of correction: Tz ndio ina billionaire na milionea wengi ukanda huu.
Ndio maana wanatumia nguvu kubwa kutengeneza uwongo na chokochoko ili raia wao waone Tz ndio wabaya,Dalili zote za kuwatupa kiuchumi zipo wazi na raia wao washaujua ukweli, ndio maana cku hz hawaishi kutuzungumzia wana hofu mno.
Hakuna kucheka na kima....ubaya ubayani.Ndio maana wanatumia nguvu kubwa kutengeneza uwongo na chokochoko ili raia wao waone Tz ndio wabaya,
Uzuri awamu hii tupo na JPM.
Ni kuwanyoosha tu hadi akili ziwakae sawa.Hakuna kucheka na kima....ubaya ubayani.
Swala la kuongoza kanda hii liko wazi,sio tamaa,tuna kila sababu,ukubwa wa nchi yetu,wingi wa watu wetu,umoja wetu ,eneo sawia la kijeofrafia,rasilimali asilia na mwisho kabisa Ungozi bora na siasa safi.....ilikua ni swala la Muda na kujifunza kwa makini. OUR ECONOMY IS UNSTOPPABLE.Dalili zote za kuwatupa kiuchumi zipo wazi na raia wao washaujua ukweli, ndio maana cku hz hawaishi kutuzungumzia wana hofu mno.
Hii mentality naipenda sana na ndiyo Magu amefanikiwa kutuwekea vichwani mwetu, unajua cc ujamaa umetuchelewesha mno.Hakuna kucheka na kima....ubaya ubayani.
Ulitufamya tuamini kila mtu ni ndugu....kumbe wengine ni machoko tuu....Hii mentality naipenda sana na ndiyo Magu amefanikiwa kutuwekea vichwani mwetu, unajua cc ujamaa umetuchelewesha mno.
Look at sidewalks in Nairobi Kenyalazima zitii dar yetu, Nairobi ya mkoloni
Bruh! Do you know what the word “sidewalk” means?? 😂😂 That place is some kind of quad where people can sit and relax. I mean it could even be a certain building’s property 😂😂Look at sidewalks in Nairobi Kenya
Hizo za Dar ni za Village
View attachment 1485037View attachment 1485038View attachment 1485039View attachment 1485041
kwani mimi niko kunyaland? haibadili ukweli kwamba hao ma architects wa chuo kinachojiita cha teknolojia wamezingua,kwani hawaoni vyuo vya level zao vilivyo na majengo mazuri?Wewe choko nn? Nenda kapakatwe hebu leta maabara ya Polytechnic university hapo Kunyaland!
Edward Wanjala huoni aibu kulinganishaLook at sidewalks in Nairobi Kenya
Hizo za Dar ni za Village
View attachment 1485037View attachment 1485038View attachment 1485039View attachment 1485041



