Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado hujaweka za Zanzibar mkuu
 
Nalifahamu vizuri sana..huo ni mfano tu natoa km mnavyosema eti 100km bongo tayari mnajaza mabasi kw ajili ta hyo place
Mbona unaongea sana bila viambatanishi mzee?

Wewe hushangai katika mamia ya makampuni ya mabasi Tanzania tumekuletea tu companies hizi chache tu hasahasa abood na bm? Kwani gari zinazoondoka dar kwenda mikoani via moro ni hizo 2 tu?

Tunazitaja hizi sababu ndio Common kwenye safari za Dar Moro Dar na ushahidi huu hapa kwamba ni hot rote, angalia kwenye caption toka 9:30 mpaka 10:30 lisaa limoja gari 10 zimetoka Dar kwenda Moro (hizi ni zile za Dar Moro Dar tu)

Then pictures za chini ni ndinga za abood za Dar Moro zenye banners kabisa special kwa Dar Moro Dar route, so ujionee ulivyo kichaa unavyopinga usichojua

οΏΌοΏΌ

Nakuletea ndinga nyingine, me huwa napenda ligi sana!
 
Nilisema sikusema? Hehehe... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

My take - hasara ya mihogo na chipsi kwa waume... 😁
 
😁😁 Mapovu ya kufulia nguo,Huwa sitaki maneno,tupia picha ya dual carriage road hapa iliyopo Mwanza sio kutukana hovyo kama umebakwa..

Ukiipata naacha kuchangia,hicho kijiji uchwara cha Mwanza sisimuliwi we kenge.

😁😁 Ukipata road kama hii hapa πŸ‘‡ hapo Jiji uchwara nahama Uzi

View attachment 1934835

View attachment 1934836
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe huyu fala sio mtanzania na hiyo miji yenyewe halijawahi kufikaπŸ–•matako kweli hili jamaa, jitu .. nimepiga picha kwa mkono wangu juzi tu dual carriage way safii, nakuweka kiporo wewe matako.. jf Wana Matatizo yao nikipost inazingua, Ila ntakurudia, ishi na hiz videos kwanza fala wewe .
 
Dala dala na shuttle ndio za kulinganishwa jamani[emoji1787][emoji1787]
Yani dude lipo lipo, kitu luxury ni stickers za boli
 
Dar moro hata coaster unapanda na zinapiga daily tu mbona[emoji1787][emoji1787]
Naona umeuliza mabasha wako wa Dar wakakwambia Coaster zipo, ni kweli Coaster zipo, tena ni bei rahisi kuliko yutong lkn huwa huwa tunapanda yutong japo Coaster nazo zinajaza.
 
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Polee Sana mkuu πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…