Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,901
- 103,770
mbona Air tanzania inaenda Bujumbura tayari? Covid19 ndo ilisimamisha!![]()
safi.. routes za masafa ya kati like bunjumbura, kinshasa etc zianze
afu nimeipenda hii jarida from ATCL
mbona Air tanzania inaenda Bujumbura tayari? Covid19 ndo ilisimamisha!![]()
safi.. routes za masafa ya kati like bunjumbura, kinshasa etc zianze
afu nimeipenda hii jarida from ATCL
We unaota wee? Ingekua hivyo Diamond na Ali Kiba wasingewazalisha warembo wenu. Huda nae akaja kujibebisha apewe hogo la Diamond. Na yule mwingine anaitwa nani vile, aliedai hajawahi kugongwa vizuri kwenye maisha yake mpaka alivyoktana na vijana wa bongo. Yaan ni wengi hadi majina yananitokaHabari za kusikitisha ni kwamba vijana wa bongo sana sana Dar wamelegea sana sababu ya kupenda mihogo, kiepe yai na kitimoto kila mara, sio asubuhi, chamcha hadi chajio. Vipi wakulungwa, msiwe hivyo!😁😁😁
🤣 Zinduka usingizini wewe, eti zukuAzam hata kw zuku bado ndogo sana
So, unaamini kuwa tunawauzia chakula then tunabaki tupu. Hizo zako ndio akili za utapia mlo sasaNdio manake utapiamlo unawahusu
Mihogo mie siwezi ifanya km meal yangu bana
Kwa nini kutumia lugha ya kukera hvyo kwa mtz mwenzako? Yeye ametoa opinion yake tu ambayo nayo siyo mbaya lakini namna unavyomjibu siyo kiungwana. Kwani ungetoa hiyo opinion yako bila kumtukana The best 007 kungekuwa na tatizo. SIO POA HIVYO. KAMA NI POVU TEMA KWA HAWA WAKUNYA.wewe peleka upumbavu baada ya kupewa NMC factories zote na Mwinyi kwa ubini wa Uzanzibari na pamoja na Abood kupewa viwanda vya Morogoro unataka wepewe mbona usiseme BRT iingie DSE kila mtu aweze annunue shares hata mwenye Tshs 1 mln? Ukiwa na akili zilizozubaa bwana! kwako wewe Bakhresa Mungu sio?
System zipo, hapo solution ni kumrudisha Max Malipo aliumudu kikamilifu. Kama unaona feri pia ilikua kazi ya MaxMalipohuu mradi mim mbona naona wakidhibiti ukusanyaji wa nauli au wa mapato kiujumla kazi itakuwa imeisha .. hata hao private sector wakipewa na wakishindwa kudhibiti mapato watafeli pia.. mim naona nguvu nying ielekezwe kwenye udhibiti ukusanyaji wa nauli na mapato mengine .. then hapo tutajua mahesabu vizur kuhusu real revenues vs expenditures
Nahisi aliangalia title akaibeba akachanganya na mawazo yake yaliyokosa shule akaweka humu![]()

Mlipa Kodi anapewa Account ya TRA ya kwenye Bank yake.
.Upo sahihi kabisa, huyu mwamba kwenye hili anakosea sana, tunamvumilia tu kwakua tunamheshimu ila anavyofanya sio poaKwa nini kutumia lugha ya kukera hvyo kwa mtz mwenzako? Yeye ametoa opinion yake tu ambayo nayo siyo mbaya lakini namna unavyomjibu siyo kiungwana. Kwani ungetoa hiyo opinion yako bila kumtukana The best 007 kungekuwa na tatizo. SIO POA HIVYO. KAMA NI POVU TEMA KWA HAWA WAKUNYA.
wee vp Jomo kenyatta si Uhuru kenyatta!Chapombeeeee
Elewa context siyo unakurupuka tu kama unafukuzwa na jogoo!Kumbe naongea na lofa..
DSTV ndio wa kulinganishwa na Azam kweli
mwenyewe hajalalamika wewe kimbelembele! Eboo kaa pembeni! kwahiyo nawewe una-support Bakhresa apewe BRT?Kwa nini kutumia lugha ya kukera hvyo kwa mtz mwenzako? Yeye ametoa opinion yake tu ambayo nayo siyo mbaya lakini namna unavyomjibu siyo kiungwana. Kwani ungetoa hiyo opinion yako bila kumtukana The best 007 kungekuwa na tatizo. SIO POA HIVYO. KAMA NI POVU TEMA KWA HAWA WAKUNYA.
Unawaza ngono zembe tu. Bure kabisa 😀 😀 😀Wala mihogo tunajua mnachapiwa nje sana, kula ugali wewe boya uweze kukamata limama kisawasawa! 🤣 🤣 🤣
Umeamua kuleta ubishi au kuzua mjadala mwingine au hujaelewa nilichoandika? Taulo likidondoka mbele za watu chutama. Any way tuendelee na battle Dar Vs. Nairobo!mwenyewe hajalalamika wewe kimbelembele! Eboo kaa pembeni! kwahiyo nawewe una-support Bakhresa apewe BRT
Hivi unajua Tz inahela ..za kutosha..tungekuwa hatu invest kwenye ATC tungekuwa tushamaliza reli..au tushatangaza tenda kote hizo Airbus 2 cost yake ni kama 400billion tsh
Sorry hio ni price ya 2018 ya 91mil usd
According to mutiple site wanasema bei imeshuka hadi 41.8 mil usd kwa moja ..so kama ni hvyo means 82mil usd around 190bil tsh kwa mbili
Dont get me wrong am not against Investing kwenye ATC ila retruns zake zitachukua muda ..na managment inabid iwe almost kama ya Ethiopian airlines ili tufeel the effect tuwe serious kweli ATC wawe serious na Govt isupport kutoa vikawazo mfano route kama ya joburg
😅😅😅😅 Tunawacheka kwa dharau na fake numbers zao tu!Wanyoshee mzee kuna watu ndio wameanza kujenga Barbara Hvi karubuni pande za garrisa na turkana wanakuja kujitamba umu
Hata Youtube sometimes, sijui wanajiandaa practicing kodi ya social media