Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
blessed kaka shukran sanaPole sana chief, wish you a quick recovery.
blessed kaka shukran sanaPole sana chief, wish you a quick recovery.
shukran sana mkuuPole sana kamanda.
Hakuna kitu km lack of health food mzeeKuhusu mihogo hapa ndio maana covid-19 iligivup bongo. Mihogo ni mojawapo ya mazao machache sana ambayo hayajawa modified genetically kama ilivyo mahindi, mchele, maharage n.k. Tena wakenya ningewaona watu wamaana sana kama mngeimport mihogo kwa wingi ila chaajabu mnaimport mahindi hadi from brazil halafu mnalalamika majengo kubomoka kumbe shida imeanzia kwenye lack of health food 😀



Maumivu peleka ushagoThere is nothing like electrifie SGR you fool. Mtafundishwa hadi lini wewe mjinga![]()





Mambo yanekwenda kasi sana mkuu. Mwenyewe nashangaa ila uwezekano huo wa kuweka jiwe la msingi ndani ya mwezi huu upo mkubwa sana tu.how?
ebu eleza..
sijaona tender ikitangazwa,au hata mkataba wa mkopo/ufadhili ukisainiwa.. labda mim sielew
Yeah, itapendeza.Wakimpa mchina by end 2024 treni litatimba mwanza
Pole sanadah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Kumbe naongea na lofa..Huko kwenye movies, katuni, miereka n.k sio shida kwa Azam. Shida ni premier league tu, hebu jaribu kuelewa bibie
Uchawi upo wapi hapo Acha kukurupuka wakenya kweli mnahitaji kuna na vyakula Bora na vya kutosha Ili kuongeza afya ya akili yenu.Uchawi haukusaidia wapiga midomo. Kenya will forever overcome any witchy obstacles placed on our way by Tanzanians
View attachment 1927373
Mambo vp nakuona leo upo kwa keja umepumzikaHakuna kitu km lack of healthy food mzee![]()
shukran sanaPole sana
Afadhali kula mihogo daily kuliko kula nyama ya fisi daily!Mihogo daily mbona utapiamlo usiwahusu
kwenye muhogo unapata kisamvu pia!Afadhali kula mihogo daily kuliko kula nyama ya fisi daily!
Wakunya wenzio wengi pia wanawish wangepanga line wapate kitu hadimuUshamba tu. Wanapanga line kununua jezi?
Pole sanaAfadhali kula mihogo daily kuliko kula nyama ya fisi daily!
😀 endeleeni kuwainspire wanaume zenu wale machakula ya ajabu then wala mihogo waje kuwasaidia majukumu yaoHakuna kitu km lack of healthy food mzee![]()