toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Of course huwezi kuilinganisha DSTV na AZAM since DSTV hawana haki ya kutangaza soka la bongoKumbe naongea lofa..
DSTV ndio wa kulinganishwa na Azam kweli
Of course huwezi kuilinganisha DSTV na AZAM since DSTV hawana haki ya kutangaza soka la bongoKumbe naongea lofa..
DSTV ndio wa kulinganishwa na Azam kweli
Huyo dada komora bure kabisa, hajui vyakula na bila shaka hata kupika hajuikwenye muhogo unapata kisamvu pia!
Sio wachawi sisi... 😁Pole sana mkuu . Hakuna mkono wa mkunya hapo....jokes , inabidi uwasikilize wataalamu hili upone haraka
Sasa nyie wenye nguvu ilikuwaje kufungwa nyingi hivyo na walaji mahindi? Kudadadeki! 🤣 🤣 🤣 🤣Kuhusu mihogo hapa ndio maana covid-19 iligivup bongo. Mihogo ni mojawapo ya mazao machache sana ambayo hayajawa modified genetically kama ilivyo mahindi, mchele, maharage n.k. Tena wakenya ningewaona watu wamaana sana kama mngeimport mihogo kwa wingi ila chaajabu mnaimport mahindi hadi from brazil halafu mnalalamika majengo kubomoka kumbe shida imeanzia kwenye lack of health food 😀
Mihogo inamaliza nguvu za magoti ndo maana dada zenyu walikuwa wanaanguka ovyo ovyo tu 😂 😂 😂Uchawi upo wapi hapo Acha kukurupuka wakenya kweli mnahitaji kuna na vyakula Bora na vya kutosha Ili kuongeza afya ya akili yenu.
Fuatilia mihogo ni Kati ya chakula boraMihogo inamaliza nguvu za magoti ndo maana dada zenyu walikuwa wanaanguka ovyo ovyo tu![]()
![]()
![]()
Heri nyama ya fisi kuliko kula albino... 😂 😂 😂Afadhali kula mihogo daily kuliko kula nyama ya fisi daily!
Hakuna Timu Bora kama Simba afrika masharikiMihogo inamaliza nguvu za magoti ndo maana dada zenyu walikuwa wanaanguka ovyo ovyo tu![]()
![]()
![]()
Matokeo yalionyesha tofauti hata kama... 😁Fuatilia mihogo ni Kati ya chakula bora
The new A220-300 r in production line!
View attachment 1927718
Bombardier CSeries/Airbus A220 Full Production List
Bombardier CSeries/Airbus A220 Production List.www.abcdlist.nl
safi.. routes za masafa ya kati like bunjumbura, kinshasa etc zianzeKmmme, juzi mlituletea vipusi basi, sio simba wale maana hawakunguruma dadeq!!! 🤣 🤣 🤣Hakuna Timu Bora kama Simba afrika mashariki
Hakuna Timu isiyoweza kufungwa Ila haiondoi ukweli kwamba Simba ndiyo Timu Bora sasa hivi afrika masharikiKmmme, juzi mlituletea vipusi basi, sio simba wale maana hawakunguruma dadeq!!!![]()
![]()
![]()
😅😅😅Wakunya wenzio wengi pia wanawish wangepanga line wapate kitu hadimu
Nimeshangaa kuona kuna wakunya wengi ni mashabiki kindakindaki wa vilabu vya Tanzania meanwhile hakuna mtanzania anaejua kama mna kilabu cha mpira!
View attachment 1927688
Mtajuaje wakati hata hamjui kusoma? 😂Wakunya wenzio wengi pia wanawish wangepanga line wapate kitu hadimu
Nimeshangaa kuona kuna wakunya wengi ni mashabiki kindakindaki wa vilabu vya Tanzania meanwhile hakuna mtanzania anaejua kama mna kilabu cha mpira!
View attachment 1927688
Kule kwa uzi wa vituko mitandaoni, washaweka jezi kuwa ni feki feki, lebo inabambuka yenyewe kama sticker, kmme 🤣🤣🤣🤣Wakunya wenzio wengi pia wanawish wangepanga line wapate kitu hadimu
Nimeshangaa kuona kuna wakunya wengi ni mashabiki kindakindaki wa vilabu vya Tanzania meanwhile hakuna mtanzania anaejua kama mna kilabu cha mpira!
View attachment 1927688
Sijui ni kwa nini serikali wanang'ang'ania kuendesha huu mradi ili hali walishaprove failure tangu enzi za UDA. Huu mradi wa mabasi ya mwendo kasi wapewe sector binafsi kwa win-win situation (serikali ipate gawio lake na mwekezaji apate chake). Kama itafanyika hivyo na mwekezaji akasimamiwa vizuri bila kuingiza siasa uchwara basi huu usafiri utakuwa wa mfano kwa nchi za sub sahara. I hate namna serikali inavyohandle huu mradi mzuri kabisa ambao soko lake basi halijawa utilized hata robo.Hii BRT system wampe Bakhressa alafu muone maajabu![]()
Wala mihogo tunajua mnachapiwa nje sana, kula ugali wewe boya uweze kukamata limama kisawasawa! 🤣 🤣 🤣😀 endeleeni kuwainspire wanaume zenu wale machakula ya ajabu then wala mihogo waje kuwasaidia majukumu yao
hakuna alichokifanya Duniani zaidi ya yeye na kenya yake
MY TAKE
Mbona sioni Jomo Kenyatta akiwa revered namna hiii huko Uganda?
Habari za kusikitisha ni kwamba vijana wa bongo sana sana Dar wamelegea sana sababu ya kupenda mihogo, kiepe yai na kitimoto kila mara, sio asubuhi, chamcha hadi chajio. Vipi wakulungwa, msiwe hivyo!😁😁😁Huyo dada komora bure kabisa, hajui vyakula na bila shaka hata kupika hajui