Mimi tangu nazaliwa ni CCM yn nakiamini hiki chama kwasababu ya mwl. Nyerere yani cku zote huwa siwezi kumsaliti huyu mzee hata iweje cz I believe ni one among the most true leaders in the world, lkn cwez kuwa CCM mpumbavu eti niunge mkono usenge usenge tu, kwnz principle zng ni kwamba cc wananchi hatupaswi kuwa na chama ila tunapaswa kuwa wafuasi wa maendeleo.
Nilimpenda JPM co kwasababu ya mapenzi bali kwa kumpima na kugundua kwamba analitakia mema hili taifa, kabla ya hapo ckuwa naamini kama angeweza kuhimili vishindo na ndiyo maana hakupata kura yng 2015 lkn baadaye nikagundua nilifanya kosa kubwa, but wkt nkipambana huyu mzee aendelee kubaki japo kwa miaka kadhaa akafa, for sure niliumia sana mpk saivi navyoandika bado namuwaza mno na kumuota kabisa, but hawa wapuuzi wauza sura watatuharibia hii nchi na kuturudisha kule tulipotoka.