Magufuli alishakufa, kuna kitu alitaka kukifanya kuhusu ATCL and believe me ingekuwa one of the best Airlines in Afrika lkn Mwenyezi Mungu ana siri nyingi sana, ukitaka kujua JPM was a real deal angalia the way serikali ya awamu ya sita jinsi inavyotembelea nyota yake, hakuna jipya la mana hata moja zaidi ya tozo za kisengesenge zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Sijui ni kwa nini serikali wanang'ang'ania kuendesha huu mradi ili hali walishaprove failure tangu enzi za UDA. Huu mradi wa mabasi ya mwendo kasi wapewe sector binafsi kwa win-win situation (serikali ipate gawio lake na mwekezaji apate chake). Kama itafanyika hivyo na mwekezaji akasimamiwa vizuri bila kuingiza siasa uchwara basi huu usafiri utakuwa wa mfano kwa nchi za sub sahara. I hate namna serikali inavyohandle huu mradi mzuri kabisa ambao soko lake basi halijawa utilized hata robo.
Magufuli alishakufa, kuna kitu alitaka kukifanya kuhusu ATCL and believe me ingekuwa one of the best Airlines in Afrika lkn Mwenyezi Mungu ana siri nyingi sana, ukitaka kujua JPM was a real deal angalia the way serikali ya awamu ya sita jinsi inavyotembelea nyota yake, hakuna jipya la mana hata moja zaidi ya tozo za kisengesenge zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Mm sioni mradi wowote wa maana alioanzisha, labda azindue LNG ndio ntamuona kidogo angalau, alisema ameipa bodi tpdc miezi sita waje na suluisho, mwezi watano huu tayar mwezi ujao tunagonga hodi
In Summary
• Miss P says the star forced her into sex and her mum helped her avoid pregnancy
• Willy Paul termed it a made-up story, sent her a cease and desist letter or he will sue
Willy Paul Image: Courtesy
Willy Paul has threatened to sue former Saldido signee Miss P over allegations he sexually assaulted her.
In an interview with Presenter Ali, Miss P alleged that, "He forced me to have sex with him, not once not twice. I had to tell my mum because I had to get medical attention."
Adding, "I had to seek help and my mum helped me Alhamdulillah, otherwise at this very moment ningekua nimesha jifungua or I would be nine months pregnant," she said.
Through his lawyers, Willy Paul demanded that the songstress apologises.
"It is evident that our client is a musician in the Kenyan music industry known locally and internationally and has suffered injury on their reputation and continues to do so as long as you continue to make the false claims," read the letter.
The letter went on to state that the video and publications by the media had visited upon the singer shame, hatred, contempt, anguish, animosity and extreme loss of business.
"Our client being internationally acclaimed and recognised in various countries will suffer a collapse in name and stature should these defamatory acts not cease immediately."
The lawyers went on to demand Miss P cease and desist from making her allegations.
"In any event not later than three days from the date of this letter, retract the false statement and offer a public, unqualified and unequivocal apology by way of advertisement, after which we shall contact you for negotiations on quantum for damages.
"Take notice that if we do not hear from you in the manner demanded, we have instructions to commence suit against you for damages, both general and exemplary, among other remedies without further reference to you whatsoever."
Responding to the accusations on Instagram, Willy Paul then shared a message alleging that Miss P was interested in a love affair and got angry after Willy Paul refused her advances.
"I've seen and heard all that's been happening for the past few days on social media about a lady claiming to have been sexually assaulted by me," he said.
"I'd like to let everyone know that this is a made-up story. This is a lady who's deeply in love with me and is acting out of anger, we had our moments... but when she realised I couldn't give back the same love, she made up a story that has really done a lot of damage to my good and clean brand.
"My lawyers are working on the case and very soon the truth will come out."
Mimi tangu nazaliwa ni CCM yn nakiamini hiki chama kwasababu ya mwl. Nyerere yani cku zote huwa siwezi kumsaliti huyu mzee hata iweje cz I believe ni one among the most true leaders in the world, lkn cwez kuwa CCM mpumbavu eti niunge mkono usenge usenge tu, kwnz principle zng ni kwamba cc wananchi hatupaswi kuwa na chama ila tunapaswa kuwa wafuasi wa maendeleo.
Nilimpenda JPM co kwasababu ya mapenzi bali kwa kumpima na kugundua kwamba analitakia mema hili taifa, kabla ya hapo ckuwa naamini kama angeweza kuhimili vishindo na ndiyo maana hakupata kura yng 2015 lkn baadaye nikagundua nilifanya kosa kubwa, but wkt nkipambana huyu mzee aendelee kubaki japo kwa miaka kadhaa akafa, for sure niliumia sana mpk saivi navyoandika bado namuwaza mno na kumuota kabisa, but hawa wapuuzi wauza sura watatuharibia hii nchi na kuturudisha kule tulipotoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.