Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Polee aisee
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
ha haaa,,,mkuu umeona ubunifu huo,,,,nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1927113
Hili gari ukipanda unaweza kuwashwa na upupu!nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1927113
shukran sana chiefPolee aisee
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1927113
Pole sana mkuu . Hakuna mkono wa mkunya hapo....jokes , inabidi uwasikilize wataalamu hili upone harakadah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Pole sana mkuudah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
This is the best thing Uganda has ever done!
Aiseee Dar haijawahi kuwa hv c Dar ya sasa wala ya 60s.muwe na usiku mwema..
it’s been a very busy monday..
-imagine this is their daladala in this age
-angalieni huo uchafu hapo chini
-angalieni hizo nyaya huko nyuma kwa background
-rangi ya barabara chini kama upo ndan ya zizi la ng’ombe
View attachment 1927104
Aiseee ni bodaboda au? Pole sana mkuu and get well soon.dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Mkuu upo Nairobi nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1927113
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
aah wapi?.. hio picha ya pili sio iringa bali west pokot county, mt elgon region kwa governor Lenyangapuo [emoji38][emoji38]
Duh pole sana brodah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Tunazungumzia within tz, premier ndio zaidi kabla ya hata hayo mengineMihogo mie naijua lkn nilishangazwa sana na watz walivyoipaisha..
Yani kwenj hyo inatumika km meal bana. !!
Alafu nikuulize, kwn DSTV ni premier league pekeake, walishindwa kumtoa wababe atakuja Azam
Pole sana ndugu yetuuuudah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Sahv kumeshabadilishwa kuko vizuri zaidi