他妈的真丢Punguza machungu bradhee, utajinyonga bure. 🤣 🤣 🤣Eti Kapuku wa kaskazini anauliza ndio mmejenga nini miaka 60 ya Uhuru?
Kapuku ambae nchi wanajitapa ni mabepari wenye elimu na mtajiri leo hii karne ya 21 jiji lao limejaaa majengo na miundombinu ya nchi ya Kijamaa ( China)他妈的真丢
脸!
Failed kapukus walitakiwa wawe level moja na Seoul, Singapore angalia wenzao walipo na wao walipo sasa hivi.
Tuache kujilinganisha na hawa jamaa, sisi tunafanya mambo kivyetu.
Dar Juzi juzi imejenga majengo (yake) Sio ya wageni ndani ya muda mfupi kuliko yao walioanza miaka ya 60 na bado anakenua.

Kama tu wanapokea misaada ya chakula kutoka kwenye nchi za kijamaa...unategemea nini mkuuEti Kapuku wa kaskazini anauliza ndio mmejenga nini miaka 60 ya Uhuru?
Kapuku ambae nchi wanajitapa ni mabepari wenye elimu na mtajiri leo hii karne ya 21 jiji lao limejaaa majengo na miundombinu ya nchi ya Kijamaa ( China)他妈的真丢
脸!
Failed kapukus walitakiwa wawe level moja na Seoul, Singapore angalia wenzao walipo na wao walipo sasa hivi.
Tuache kujilinganisha na hawa jamaa, sisi tunafanya mambo kivyetu.
Dar Juzi juzi imejenga majengo (yake) Sio ya wageni ndani ya muda mfupi kuliko yao walioanza miaka ya 60 na bado anakenua.

Hehehehee utaumia sana cz hapo soon inapita BRT, paliachwa hivyo kwa sababu maalum, c unajua cc akili kubwa Mipango ya miaka 100, BRT yenyewe hii hapaJust look at that road, nikisema mimi watesema nina chukiView attachment 1906720

Poverty yenyewe ndiyo hii hapaCheck any development index you will find tanzania doing very poor. Sio health, sio education, sio poverty, etc. Tanzania a is definition of how you can have resources but still be poor.