Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!

Maza anaakili izo kwani hapa tukubali tuu tumepigwa na mwakani ashawahidi watu hatawaongezea mishaara
 
Hii kitu ina tetenus bana😱😱
2895443_Screenshot_2021-08-24_101136.png
 
Sgr ni sgr mambo ya electrical tupa kuleeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji90]
Tofauti za SGR zipo nyingi tuu

Rail: jointed vs continous
welded rail

Power Source: Diesel vs Electrical

Supporting facilities: Diesel and water refueling tanks vs electricity sub stations

Huwezi ukasema SGR ni SGR kwa hizo facts hapo juu ukitaka nilete facts nyingine zaidi ya hizo bisha.
 
Define the word sgr, hapo ndo unatatizo😂
 
Tofauti za SGR zipo nyingi tuu

Rail: jointed vs continous
welded rail

Power Source: Diesel vs Electrical

Supporting facilities: Diesel and water refueling tanks vs electricity sub stations

Huwezi ukasema SGR ni SGR kwa hizo facts hapo juu ukitaka nilete facts nyingine zaidi ya hizo bisha.
umesahau every SGR station Tanzania zina cargo and PAX terminals wakati Kunyaland zina PAX tu!
Pia marshalling yard yetu ya Ruvu is the largest in the region na several r coming up Dodoma, Mwanza na Isaka ukiacha several ICDs over 10 around Tanzania though some zilikuwapo ila maboresho yanafanyika!
Signaling pia our electrical SGR is to be remotely controlled wakati mtambo wa changaa hauna remote control facility!
 
Back
Top Bottom