Kama unaamini hio gorofa itajengwa wewe ni mjinga wa mwisho😂😂
👇👇Washakubalii mkuu Acha kutonesha kidonda
Kama unaamini hio gorofa itajengwa wewe ni mjinga wa mwisho😂😂
Vision 2030 loading nicely..,Mbagathi flyover updates🥰
View attachment 1906304
View attachment 1906305
View attachment 1906306
View attachment 1906307
The best of Dar CBD in one photo.., thank you NDINDA.., nime "press" control S.
No1 piga ua inatakiwa iwe Congo, yani wakukuruke wawezavyo lkn mziki Africa unatokea Congo zen wengine tunafata.Ndio habari ya mjini View attachment 1906401
Kajilipua, nimeisave tayari😁The best of Dar CBD in one photo.., thank you NDINDA.., nime "press" control S.
napaona kidimbwini!
AICL group ni ya nani? Inakaa hii tower itajengwa on a reclaimed land!
Kongo sikuizi ni kelele tu hakuna mashairiNo1 piga ua inatakiwa iwe Congo, yani wakukuruke wawezavyo lkn mziki Africa unatokea Congo zen wengine tunafata.
Nyie ndio mnatoka hko katika majukwaa yenu na kuja kuanzisha nyuzi hku..Hatunaga huo upuuzi wa kujilinganisha, ni nyie ndiyo mlianza sisi tukajibu.