Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehehee mkuu unawapiga na facts tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Deforestation loading[emoji23][emoji23][emoji23] do you know how many years it takes for a tree to grow back.
Someone is bragging about selling charcoal and wood to kenya[emoji23][emoji23][emoji23] i encourage all kenyans to continue importing those raw materials[emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu mbwa muandiko wake nime notice kitu, guess whaaatt.... multiple a/c[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Nimempa kubwa akatoweka

Wao mpaka sasa hata million 1 bado then watakuambia wana barabara kilometres 300k wakati magari hawana [emoji28][emoji28][emoji28]
Wee jamaa bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania ikifanya vizuri wanaandika hivi...



Ila Kenya ikifanya vizuri wanaandika hivi...




Yaani ni ule msemo wa "Changu changu...chako changu". [emoji23][emoji23][emoji23]
******* sn hawa mbwa yn Tz ikifanya vizuri wanasema ni maendeleo ya EA, ila wao wakifanya vizuri ni Kenya, but sometimes it shows how super power we are, yn cc ndiyo baba hapa East and Central Africa.
 
nauliza tuu je hakuna mkenya mwenye gari humu ndani ili aonyeshe kadi yake ya gari?
mbona pan'gan'ga inakua mob?
Aibu nyingine hiyooooo inakuja, twendeni taratibu mtajua tu aina ya binadamu tunao battle nao humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehee mmeona?[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo gari ndo huna au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…