Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
Wanatamani kuharaaa...wazee wa superiality complex[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Habari imewaumiza sana kwa sasa over 75% mizigo ya rwanda inapita dar tuliebakiza ni mmoja tu uganda yani huyo yukimshika basi kenya imeisha kabisa 😆😆😆😆Wanatamani kuharaaa...wazee wa superiality complex[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ebu tuwekee volume ya dar port tucheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Habari imewaumiza sana kwa sasa over 75% mizigo ya rwanda inapita dar tuliebakiza ni mmoja tu uganda yani huyo yukimshika basi kenya imeisha kabisa 😆😆😆😆
Lamu si ndio ingetakiwa itufanyie. Transhipment au imekuaje tena?Hongera hapa. EA tuzidi kusonga mbele.
Alooo,, katika kila watu elfu moja bongo kuna magari 20😂😂😂Kuna mdau kasema hii meli ilishusha gari 400 tu Kenya lakini Tanzania imeshusha gari 3740 na katika hizo gari zaidi ya 1000 ni za Tanzania huku nyingine ni transit
Kenya wao hizo 400 ni za Kenya, Uganda, Sudan halafu bado tunatafuta nchi superpower ukanda huu!
😆😆😆😆😆Lamu si ndio ingetakiwa itufanyie. Transhipment au imekuaje tena?
Kwahio hio ndo transhipment ausio😂😂😂Lamu si ndio ingetakiwa itufanyie. Transhipment au imekuaje tena?
Source mama ngina 😂😂😂😂Alooo,, katika kila watu elfu moja bongo kuna magari 20😂😂😂View attachment 1888687
Dar inapokea 20m tons na sasa tunaelekea 25m tons by 2025 kaa mkao wa kula na hapo ukumbukuke bado expansion inaendeleaEbu tuwekee volume ya dar port tucheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alaf zinetumika 30yrs spain 😆😆😆 na bei mlionunulia ni sawa mungenunua mpya kabisa au nasema urongooThe only city in EA with a functioning commuter railway😍😍😍View attachment 1888673View attachment 1888674
View attachment 1888676View attachment 1888677
Mnaagiza bidhaa za dollars billion 17 wakati sisi tunaagiza dollars billion 11Ushuzi wa bata, nilidhani ni biggest ship kumbe ni ya magari😂😂😂😂 niquote ile siku dar port itafikia nusu ya mombasa.
😆😆😆😆😆 unawaumiza sana ujueMnaagiza bidhaa za dollars billion 17 wakati sisi tunaagiza dollars billion 11
Mna trade deficiency ya dollar billion 12 Tanzania deficit yetu ni dollar billion 5
So wacha mombasa iendelee kupokea tu zaidi since hamuwezi kujitosheleza.