Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna majeshi ya nchi zingine ni bure kabisa kama Kenya tuu sasa hawa wa Ethiopia sijui wanafeli wapii
 
hio habari kwenye headline ndo itakuwa endelevu.. hawatatuzidi tena hao wapuuzi.. it’s like 160km/h [emoji1241] vs 120km/h [emoji1139] speed..
View attachment 1889199
Ukiangalia kwa jicho la kichumi utaona kwanini Tanzania ni first most inclusive economy in Africa

Angalia vitu tunavyoongoza kuwauzia wakenya kama mbao, mahindi, mchele, veggies, beans, edible oils, cotton etc

Ni vitu vinavyozalishwa Tanzania by 100% na majority ya watanzania hivyo hiyo pesa inaenda kwa mtanzania moja kwa moja

Tofauti na wao wanatuuzia vitu ambavyo havijazalishwa Kenya by 100%, vyote wanavyotuuzia are primarily manufactured abroad vikawa tu completed in Kenya na those fabricators ni monopolies so hata faida yake haijatawanywa kwa wakenya wa kawaida kutokana na nature ya uzalishaji!
 
Kumbe Lamu level zake ni Zanzibar? 😅😅😅

Na ilifanya transhipment au ni meli (local mashua) ilitoka Zanzibar kisha ikapitia Lamu baada ya kuishia Somalia?

Walichukua containers ngapi?
Kwa taarifa yako mzigo wenye mshiko kwenye bandari ni ule unaoingia sio unaotoka, Lamu bado ni white elephant na halitabadilika hilo ndani ya karne hii!
Unadanganya. Meli iliyotumika ni meli ya Kenya.
 
Ukiangalia kwa jicho la kichumi utaona kwanini Tanzania ni first most inclusive economy in Africa

Angalia vitu tunavyoongoza kuwauzia wakenya kama mbao, mahindi, mchele, veggies, beans, edible oils, cotton etc

Ni vitu vinavyozalishwa Tanzania by 100% na majority ya watanzania hivyo hiyo pesa inaenda kwa mtanzania moja kwa moja

Tofauti na wao wanatuuzia vitu ambavyo havijazalishwa Kenya by 100%, vyote wanavyotuuzia are primarily manufactured abroad vikawa tu completed in Kenya na those fabricators ni monopolies so hata faida yake haijatawanywa kwa wakenya wa kawaida kutokana na nature ya uzalishaji!

pia hizo products zao ni za viwandan (matajiri wenye hela) kwetu wakulima na wenye viwanda wote wanafaidika..
exclusive [emoji1139] vs (inclusive&exclusive) [emoji1241]
 
Yeah, yaani Tanzania ni nchi ambayo mtanzania wa kawaida na mtanzania tajiri wote wanaweza kuingiza bidhaa kwenye soko la Kenya

Hakuna mkenya wa kawaida anaweza kuleta bidhaa yoyote Tanzania tofauti na wakenya wenye viwanda vikubwa

Lakini mtanzania wa kawaida mwenye ekari 50 za miti anaingiza mbao zake Kenya and on the spot anakua millionare

Je mkenya wa kawaida ana kipi cha kuleta Tanzania? 😅😅😅

Note kwa Wakenya: kwa Tanzania kuwa na ekari 50 za shamba lenye rutuba wewe ni mtanzania wa kawaida 🤣
 
Tanzania Forestry Agribusiness

images (3).jpeg
images (5).jpeg
images (9).jpeg
images (4).jpeg
images (7).jpeg
images (10).jpeg
images (8).jpeg
images (6).jpeg
 
Ukiangalia kwa jicho la kichumi utaona kwanini Tanzania ni first most inclusive economy in Africa

Angalia vitu tunavyoongoza kuwauzia wakenya kama mbao, mahindi, mchele, veggies, beans, edible oils, cotton etc

Ni vitu vinavyozalishwa Tanzania by 100% na majority ya watanzania hivyo hiyo pesa inaenda kwa mtanzania moja kwa moja

Tofauti na wao wanatuuzia vitu ambavyo havijazalishwa Kenya by 100%, vyote wanavyotuuzia are primarily manufactured abroad vikawa tu completed in Kenya na those fabricators ni monopolies so hata faida yake haijatawanywa kwa wakenya wa kawaida kutokana na nature ya uzalishaji!
Kajilipua bila kujua, uchumi wetu umekua sana ndo maana tunaexport manufactured goods kwenu ilhali nyinyi mnaleta rain fed crops😂😂😂
 
So its also correct to say majority of the cars unloaded at dar port yesterday are for neighbouring countries and not tanzania😂😂😂
 
Back
Top Bottom