Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,921
- 103,791
It shows Tz maendeleo yako spread out evenly unlike Kenya maendeleo yako concentrated in certain areas only.once again i concur with NASA. since its very accurate View attachment 1891466hivi mataa zimerundika
Katupigie picha hapo mkuu..ili tuwaaibishehuo uchafu nao hadi make up imekataa road imekaa udongo udongo vumbi la Congo hapo sasa tukija kwa jicho la live ,foot by foot mwendo ni ule ule vumbi la Congo,,
hapo hamna kitu msee,,mtatamba kwa make up picha ila in reality nothing
Hawakosekani wakenya ambao wanafaidika na hyo biashara kiharamu haramuNawashangaa wanapata wapi ujasiri, misitu iliopo Kigoma peke yake ni mara 10 ya Kunyaland yote
Yani jamaa mnajisifia misituHawa jamaa hawajawahi kutembea na kuona misitu inavokaa wanaishiaga karura forest, ngong forest na city park na labda aboretum Nairobi![]()


FINALLY SUB 10💥🌟💪👍🤩 CONGRATULATION OMANYALA!In dj khalid voice 'another one'👏👏🇰🇪🇰🇪View attachment 1883509
Kunyaland Watapumulia mashine, Egypt watajenga industrial Park na hub ya East Africa na bado Mafuta ya Uganda yako mbioni kuanza
HIS TAKE
El Sewedy CEO is ready to invest in an industrial park of 2 mln sq m along electrical SGR Tanzania!
Tutamkumbuka sana Magufuli miaka mingi ijayo, upendo wake kwa taifa hili haukuwa na kipimo, watanzania tumepoteza moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii.Kweli sasa impact ya port expansion inaonekana
Dah inasikitisha sana
Of cause, great things resemble each other.but nbi is just but a replica of jozi, cape town and so on...