Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Both
Profile yetu ipo diversified


View attachment 1889303
Your exports to kenya are a typical characteristic of an Ldc, exporting raw goods. I wont be suprised that the rice you buy in supermarkets have been value added in kenya.👇👇
Screenshot_20210812-103859.png
 
Meanwhile this is what we are exporting to tanzania, processed value added goods. One importance is it creates many job opportunities. We dont export raw goods to tz.👊👇
Screenshot_20210812-103314.png
 
Someone is bragging about selling charcoal and wood to kenya😂😂😂 i encourage all kenyans to continue importing those raw materials😁😁😁
 
We kweli bogus, hiyo sio miti ya asili hayo ni mashamba ya miti kama mashamba ya mahindi, tunaolima hivyo kwa Afrika ni Tanzania na South Africa

stick to trolling, mambo ya intellectual tuachie wenyewe. Maneno kutoka kwa auditor general wenu👇👇
IMG_20210812_111407_355.jpg
 
Ladies and gentlemen the wood that is exported to kenya 96% of it was illegally acquired. That means- taxes were not paid, environment was degraded, labour was exploitated, habitat was lost etc
IMG_20210812_111407_355.jpg
IMG_20210812_112552_396.jpg
 
stick to trolling, mambo ya intellectual tuachie wenyewe. Maneno kutoka kwa auditor general wenu👇👇View attachment 1889336
Unajua illegal inayomaanishwa hapo ni nini?

Mtu amekuza pines zake for more than 10 years kwenye shamba lake binafsi hana haja ya kuomba kibali kukata miti yake thus regarded illegal so haizuii kwamba sio miti yake kavuna
 
Yeah, yaani Tanzania ni nchi ambayo mtanzania wa kawaida na mtanzania tajiri wote wanaweza kuingiza bidhaa kwenye soko la Kenya

Hakuna mkenya wa kawaida anaweza kuleta bidhaa yoyote Tanzania tofauti na wakenya wenye viwanda vikubwa

Lakini mtanzania wa kawaida mwenye ekari 50 za miti anaingiza mbao zake Kenya and on the spot anakua millionare

Je mkenya wa kawaida ana kipi cha kuleta Tanzania? 😅😅😅

Note kwa Wakenya: kwa Tanzania kuwa na ekari 50 za shamba lenye rutuba wewe ni mtanzania wa kawaida 🤣
2876590_JamiiForums1552698300.jpeg

🤔
 
Unajua illegal inayomaanishwa hapo ni nini?

Mtu amekuza pines zake for more than 10 years kwenye shamba lake binafsi hana haja ya kuomba kibali kukata miti yake thus regarded illegal so haizuii kwamba sio miti yake kavuna
Unajitoa ufahamu😂😂😂 . I wont be shocked to find kenyan businessmen behind the dark trade of wood in tanzania.
 
Back
Top Bottom