Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Update: The 510 m long Wami bridge
LEtfCCn.jpg

08NUHyo.jpg

JZfVdvM.jpg

GOg9ynZ.jpg

▲ Pier P4

equHPBP.jpg

▲ Pier P1

source

source
 
Hawa watu hushangaza Sana[emoji706]wacha Ile siku Tutaanza kuutilize Jangwa yetu na kufanya canal irrigation,watakipata watajua watauzia Nani,Bado mambo Tuko under trainning na Israel na Egypt,once we catch-up Tutakuwa the leading producer of Food crops and cash crops in Africa,Just wait[emoji1139][emoji109][emoji91][emoji91]
Amka upesi usije ukajinyea ndoto mbaya hiyo.
 
Update: Ikulu Chamwino

E8q9iNUXsAEtAbe

E8q9iNVX0AQbiVA

E8q9iNXXoAc32Y7

E8q9iNYWUAIHagV

MY TAKE
Kuna mafalamanga hujaribu kujilinganisha na Tanzania, yaani na fedha Tshs 300 bln taslim (si mkopo) za Mji wa serikali na wizara 23 imetolewa! I don't know what u mafalamanga smoke!

Waoooo, habari nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa hiii, watanzania tunaweza, very beautiful president house tulioijenga kwa fedha na mikono yetu wenyewe, this is what a super power can do[emoji7][emoji7][emoji7]
JamiiForums-333728242.jpg
JamiiForums-560244272.jpg
JamiiForums-1803564745.jpg
 
sema tu sahizi tz naona mnajaribu sana kutia bidii tangia enzi ya maguful, ila tu bado, bado sana.. kenya iko ligi yake mazee, hamjai ifikia bado
 
sema tu sahizi tz naona mnajaribu sana kutia bidii tangia enzi ya maguful, ila tu bado, bado, kenya iko ligi yake mazee, hamjai ifikia bado
ka tuna host hadi WRC, tunatawala Olympics, sahivi tu host 2021World-Under20 Athletics Championships, major african headquaters like UN, WorldBank, IMF, Toyota, Coca-cola are all based in nairobi, former President Obama ni mtoto wetu. ie. atleast we are featured somewhere in the world arena platform.. mtatuambia nn ss nyinyi vilaza?..
 
Update: JNHPP
ZNDbTa3.jpg

▲ Casting the last section between L4 and R4

weyP3yw.jpg

1tAMcuG.jpg

source

MY TAKE
Siku Wakunya wana mega project kama hii hatutalala humu ndani!
Waooo, another project I waited for its progress, wakunya msije kusema hatujawaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sema tu sahizi tz naona mnajaribu sana kutia bidii tangia enzi ya maguful, ila tu bado, bado, kenya iko ligi yake mazee, hamjai ifikia bado
Taratibu umeanza kujitambua eehh, nilikuambia umekuja moto ila tutakutia adabu, ss fanya kahadithie wakunya wenzako ulichokikuta humu [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ka tuna host hadi WRC, tunatawala Olympics, sahivi tu host 2021World-Under 20 Athletics Championships,. ie. we are featured in the world arena platform.. mtatuambia nn ss nyinyi vilaza?..
Hiyo ndiyo development according to your teacher [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ka tuna host hadi WRC, tunatawala Olympics, sahivi tu host 2021World-Under 20 Athletics Championships,. ie. we are featured in the world arena platform.. mtatuambia nn ss nyinyi vilaza?..
ata nenda sahizi new york ama london ama tokyo, uwaulize dar-es-salaam iko wapi na nairobi iko wapi,
utapata jibu..
nani ata anajua darslum iko wapi
 
Taratibu umeanza kujitambua eehh, nilikuambia umekuja moto ila tutakutia adabu, ss fanya kahadithie wakunya wenzako ulichokikuta humu [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mimi si geni humu, nimekuwepo jf tangia kitambo sana (2013) ila tu nilibadilisha ID na address na ku re-subscribe tena. mm sio geni
 
Waoooo, habari nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa hiii, watanzania tunaweza, very beautiful president house tulioijenga kwa fedha na mikono yetu wenyewe, this is what a super power can do[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1892646View attachment 1892647View attachment 1892648
Mbona kitu kidogo hiki..! Ikulu tu umekuwa superpower? Nadhani kukamilisha jiji la Dodoma kuwa na airport, ring road, sport complexes (footbal stadium, aqua arena, basketball arena), theaters, indoors concert arena, conference center, museums, commutter rail network e.t.c.
 
Waoooo, habari nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa hiii, watanzania tunaweza, very beautiful president house tulioijenga kwa fedha na mikono yetu wenyewe, this is what a super power can do[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1892646View attachment 1892647View attachment 1892648
mazuzu nyinyi,. another Nkandla home loading kisha mwaisifu. wajinga nyinyi..
ingekua kenya, tungeipiga vita.
tz kila kitu ni serkali, serkali, serkali.. nyie wajinga sana. tafadhali tokeni communism na muingie captalism ka mnataka kuendelea ka ss
 
Unajiaibisha mama, Kenya taa zinawaka only Nairobi, Tz taa zinawaka nchi nzima au huoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
safi sana kujua leo nairobi inafika hadi lake victoria na mt elgon.. hivi sikuwai jua nairobi ni kubwa ivo
 
Unajiaibisha mama, Kenya taa zinawaka only Nairobi, Tz taa zinawaka nchi nzima au huoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwani unataka iwake wapi? northern and easten parts are mostly arid and semi arid
2021_08_08_05.45.24.jpg
ata minashidwa kuelewa nchi kidogo kama kenya na tena bila madini inaibiku nchi kubwa kama tz ×2times kiuchumu. hebu mutokamo huko. hebu mutokamo communism muingia capitalism mujionee miujiza
 
Back
Top Bottom