Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili gepu sio mchezo...ni haki yao walete makasiriko humu

The Bank of Uganda data shows that in the three months to June, the value of Kenya’s exports to Uganda totalled Sh24.04 billion($221 million) — almost half the Sh43.5 billion ($400 million) shipments Tanzania made to the landlocked country.
Bado tunatafuta superpower?
 




MY TAKE
Naunga mkono hoja! Haya masalia ya JPM inabidi yaondoke huyu na Polepole ni majipu!

CC: Venus Star

Nimeipata hii mahali

Ni vizuri kuheshimu maamuzi ya wenye hiari ya kutochanjwa sababu ndio wengi na statistics zinaonesha watanzania majority hawazitaki ndio maana mpaka sasa ni watanzania wachache sana wamejitokeza

IMG_20210810_172625.jpg
 
😆😆😆😆😆 unawaumiza sana ujue
Mafuta ya kula wanaagiza toka nje kwa 100% Tanzania ni 40%

Mafuta mazito ya kuzalisha umeme wanaagiza by 100%, Tanzania tunatumia gas yetu

Chakula kutoka nje wanaagiza by 75%, Tanzania tunajitosheleza kwa chakula

Mzigo wa Mombasa 90% unabaki Kenya

Mzigo wa Dar 50% unabaki Tanzania

Bado anategemea bandari ya mombasa iwe sawa na Dar !
 
dar hamuiwezi ni modern city,,,dubai ya Africa
hapa mnajifurahisha tu
but Dar is just one☝ Block, yani ina mwanzo na mwisho. but nairobi my friend.... just like tokyo, shanghai or beijing is a very very complex city. nairobi alone has more than 7Business Districts (BDs) plus main Central Business District (CBD) eg. Eastleigh, Kilimani, Upperhill, Ngara, Parklands, Westlands, Mombasa Rd (SouthB&C), Githurai45 etc
 
Back
Top Bottom