Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Halafu huwezi amini uagizaji wa mafuta ya kupikia na sukari in the next 3 years utakuwa historia!Mafuta ya kula wanaagiza toka nje kwa 100% Tanzania ni 40%
Mafuta mazito ya kuzalisha umeme wanaagiza by 100%, Tanzania tunatumia gas yetu
Chakula kutoka nje wanaagiza by 75%, Tanzania tunajitosheleza kwa chakula
Mzigo wa Mombasa 90% unabaki Kenya
Mzigo wa Dar 50% unabaki Tanzania
Bado anategemea bandari ya mombasa iwe sawa na Dar !
Wacha ujinga. Nenda kwenye thread ya Lamu port. Tumepost vitu vingi huko. Sio kujifungia humu ndani. Zunguka zunguka JF ni kubwa.Imefanya lini 😂😂😂 nasubiri utupe habari
It is good for Tz and Bad for Kenya... But overall the situation is not so bad as usually inatokeaWhat does this mean wadau? Sielewi is it a good thing or a bad thing?
Kumbe Lamu level zake ni Zanzibar? 😅😅😅Lamu tayari imefanyia Zanzibar port transhipment. Kwani huna habari?
Sasa hiyo ni nini mbona imekaa kienyejiEti new look? Picha ya jumatatu? Kwa hiyo nimefanya editing?View attachment 1888279
Muwe wakweli sometimes!
Kwanza kanairobi kenyewe ukifazama tu unajua wapi ni wapi upo wapi hata kama mtu akikufumba macho na kukutembeza cbd unajua upo wapisasa unataka umtafute mtu ambaye anaijua nairobi karibia nzima ,unataka umtembeze mtu ambaye anajua chochoro zote za nairobi,,[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji1787][emoji1787]
tafuta kazi ya kufanya kama huna kazi kachukue ndugu zako walio villages ambao hawajawahi kufika nairobi ndiyo uwatembeze
Gofu za kale
Wajinga ni wale wanaokubali kuwa nguruwe wa majaribio.Danganyikans are the most stupid nation in the world. Primitive na wanapenda uchawi kama the FOOL who died akiitisha chanjo Madagascar.
Wajinga sana wadanganyikaView attachment 1889118
JamiiForums mobile app
hiyo ishafunga kazi tiyarihio habari kwenye headline ndo itakuwa endelevu.. hawatatuzidi tena hao wapuuzi.. it’s like 160km/h [emoji1241] vs 120km/h [emoji1139] speed..
View attachment 1889199
hiyo ishafunga kazi tiyari
Hapo ni kwenye pillar ya barabara 🤣🤣🤣🤣Sasa hiyo ni nini mbona imekaa kienyeji
Hehe very far fetchedkenya exports to Tanzania kama pharmaceutical products, plastics na steels ni vitu ambavyo tumewekeza, so wategemea kupungua kwa soko lao kwetu