Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ndio watuelezee how they leaped from 380, 000 in 2015 to where they think they are? najua vilaza hawajui Tz iko na gari ngapi..,
2013 Tanzania ina ndinga 1.3M ninyi hata 500k hamna

Yaani mnafake kila kitu, nilifikiri ni barabara tu 😅😅😅

Polish_20210812_173939566.png
 
wewe unaandika tu kiushabiki, zero reasoning, fanya hivi, kanunue njugu na kopo la kahawa chungu, kisha nenda kule vijiweni ukawahadithie wenzako vile mmeipiku Kenya kibiashara..,
Nioneshe ushabiki kwenye hizi data.
The Bank of Uganda data shows that in the three months to June, the value of Kenya’s exports to Uganda totalled Sh24.04 billion($221 million) — almost half the Sh43.5 billion ($400 million) shipments Tanzania made to the landlocked country.

Hivi una habari mmenyanganywa mteja wenu mkubwa (Uganda) wa bidhaa zenu au upo hapa kuendeleza ego & denial [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo hamna magari million 3.3 kama huyo juha mwenzio alivyo dai? 😅😅😅😅View attachment 1889742
Exactly correct, magari ni over 3 million..,.., wewe unajua hesabu kweli, umesoma vizuri hapo? uliona "compound" average growth rate ya 9%, fanya hesabu..,
wacha nikusaidie kidogo tu.., nikupe muongozo..,
End of;..,
2011: 1,600,000 x 0.09 = 144,000 (total 1,600,000 + 144,000)=1,744,000
2012: 1,744,000 x 0.09 = 156, 960 (+1,744,000) = 1,900,960
2013: 1,900,960 x 0.09 = 171,086 (+1,900,960)= 2,072,046
2014: 2,072,046 x 0.09 =186,484 (+2,072,046)= 2,258,530
2015: 2,258,530 x 0.09 = 203,267(+2258,530)= 2,461, 797
2016: 2,461,797 x 0.09 = 221,561(+2,461,797) = 2,683,358..,

endelea kutoka hapo kilaza.., kazi yenyu kukurupuka tu.., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tanzania ikifanya vizuri wanaandika hivi...

This is good news for EAC, tunaelekea standards za Europe in intertrade amongst themselves.., sio nchi moja fukara, nyingine inapepea peke yake, imbalance of trade haileti mafanikio makubwa.., biashara inoge sasa,..,

Ila Kenya ikifanya vizuri wanaandika hivi...

This is good news for kenya, tunaelekea standards za Europe

Yaani ni ule msemo wa "Changu changu...chako changu". [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Exactly correct.., wewe unajua hesabu kweli, umesoma vizuri hapo? uliona "compound" average growth rate ya 9%, fanya hesabu..,
wacha nikusaidie kidogo tu.., nikupe muongozo..,
End of;..,
2011: 1,600,000 x 0.09 = 144,000 (total 1,600,000 + 144,000)=1,744,000
2012: 1,744,000 x 0.09 = 156, 960 (+1,744,000) = 1,900,960
2013: 1,900,960 x 0.09 = 171,086 (+1,900,960)= 2,072,046
2014: 2,072,046 x 0.09 =186,484 (+2,072,046)= 2,258,530
2015: 2,258,530 x 0.09 = 203,267(+2258,530)= 2,461, 797
2016: 2,461,797 x 0.09 = 221,561(+2,461,797) = 2,683,358..,

endelea kutoka hapo kilaza.., kazi yenyu kukurupuka tu.., 😂 😂 😂 😂 😂
😅😅😅😅 Mpaka mnatia huruma, leteni card ya gari
 
Kiswahili peleka vijiweni wewe.., Tanzania ni nchi fukara kwa Kenya.., ni kama kusema eti port ya Tanzania inafanya biashara kuliko ya Mombasa sasa., facts and figures dont lie, lakini domo domo inakuaga na uongo mingi, hadithi za vijiweni 😂 😂 😂 😂
 
Naomba kujua December 2019 mlikua na gari million 3.3 au 2.3? 😅😅😅😅

Taarab wapelekee wanawake wenzio 😀😀😀

Polish_20210812_172824291.png
2879171_IMG_20210812_164523_679.jpg
 
Naomba kujua December 2019 mlikua na gari million 3.3 au 2.3? 😅😅😅😅

Taarab wapelekee wanawake wenzio 😀😀😀

View attachment 1889792View attachment 1889793
Kusoma haujui, kukurupuka ndio yako.., jamaa ametumia two sources, ya KNBS na independent ya international organization of motor vehicle manufactures data on passenger vehicles., naweka na ya Tz pia from the same source.., wewe tafakari..,
1628781234979.png

Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars​

2005 - 2019 | SEMIANNUALLY | UNIT | INTERNATIONAL ORGANIZATION OF MOTOR VEHICLE MANUFACTURERS
Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars was reported at 675.000 Unit in Dec 2019. This records a decrease from the previous number of 998.000 Unit for Dec 2018. Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars data is updated semiannually, averaging 2,000.000 Unit from Dec 2005 to Dec 2019, with 20 observations. The data reached an all-time high of 3,500.000 Unit in Dec 2013 and a record low of 500.000 Unit in Jun 2014. Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars data remains active status in CEIC and is reported by International Organization of Motor Vehicle Manufacturers. The data is categorized under World Trend Plus’s Association: Automobile Sector – Table RA.OICA.MVS: Motor Vehicle Sales: by Country and Type: Passenger Car (PC).

sasa wewe ndio nyambaff..,
 
Duuh yaani 2015 mna ndinga million 1.5 wakati huku statistics za serikali zinasema hata 400k hamkua nayo? 😅😅😅😅

View attachment 1889798
nionyeshe statistics ya serikali ya Kenya hapa imesema hatukukua na gari zaidi ya millioni in 2015 kilaza? yaani ata uganda wakati huo wa 2015 they had over a million, wewe unajaribu nini? 😂 😂 😂 😂 😂 weka source ya serikali ya Kenya sasa hivi.., link nikuumbue na hizo propaganda zako..,
 
Kusoma haujui, kukurupuka ndio yako.., jamaa ametumia two sources, ya KNBS na independent ya international organization of motor vehicle manufactures data on passenger vehicles., naweka na ya Tz pia from the same source.., wewe tafakari..,
View attachment 1889799

Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars​

2005 - 2019 | SEMIANNUALLY | UNIT | INTERNATIONAL ORGANIZATION OF MOTOR VEHICLE MANUFACTURERS
Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars was reported at 675.000 Unit in Dec 2019. This records a decrease from the previous number of 998.000 Unit for Dec 2018. Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars data is updated semiannually, averaging 2,000.000 Unit from Dec 2005 to Dec 2019, with 20 observations. The data reached an all-time high of 3,500.000 Unit in Dec 2013 and a record low of 500.000 Unit in Jun 2014. Tanzania Motor Vehicle Sales: Passenger Cars data remains active status in CEIC and is reported by International Organization of Motor Vehicle Manufacturers. The data is categorized under World Trend Plus’s Association: Automobile Sector – Table RA.OICA.MVS: Motor Vehicle Sales: by Country and Type: Passenger Car (PC).

sasa wewe ndio nyambaff..,
nauliza tuu je hakuna mkenya mwenye gari humu ndani ili aonyeshe kadi yake ya gari?
mbona pan'gan'ga inakua mob?
 
Sitaki data za Tanzania uzitoe kwenye majalala zaidi ya TRA, Leo TRA wamesajili gari 500 hicho kiblog chako kitajua saa ngapi?

We pambana na fake data zenu, usitupeleke sisi huko!
 
Back
Top Bottom