Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

27km za mchina kwa miaka 30 ambazo zitawatoa uharo kwenye toll alaf unasema zinatutoa kamasi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Ya mchina ndiyo but kwani itakua inaongea kichinina? Au wanaweza beba waende nayo hehe ama imejengwa tanzania hehe sisi Bora we getting quality roads wenye wivu wajitie kitanzi sisi siku hizi ni wajanja we get the Chinas to do ppp so they build us for free without repacations hata wakitaka wajenge njia na the best facilities in the world alover tuwe tunalipa sawa Bora we use high quality amenities
 
Kweli LDC Ni LDC,,Sa hii ni nini yakuwekwa kwa headlines๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…kandege ka mtaa tu
Mkunya mmoja wa nchi ya ndege za Mkopo za KQ ulioshindwa kulipika alisikika akilalamkika! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Owned by who ?? Dreaming is to rent bed sitter and not plot or house ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† alaf muko bzy kushindana hapa ikiwa mpaka kibera area inamilikiwa na serekali ya jubilee
That's nyayo estate guys have bought those houses
 
Tunasonga pole pole, number 13.

View attachment 1874148
Embu hesabu vizuri hapo uache bangi za kibera wewe.
Screenshot_20210730-204750_Office.jpg
 
Mmmh Ila bongo noma, ni ndege mpya ya tisa, yo kunyans msijisaulishe tz tulianza kununua hiz ndege 2017 ambapo mpaka sasa ni miaka minne tu na tumeshanunua ndege 11 tayari ndege mbili zitamfikia any time soon, tukichanganya na zile ndege zetu mbili za zamani tunakua na jumla ya ndege 13, pia tumeshakamilisha manunuzi ya ndege ya mizigo ikitua tunakua na ndege 14 .. mtaweza kweli.? Kushindana nasi.?
Bado ndege 4 ambazo zote zimeshalipiwa full dreamliner 1, airbus 220 2, B767 1 ya mizigo
 
Ni kweli kujua dozi sahihi ni muhimu sana, haya madude yanaweza kuua mtu kutokana na tabia yake ya kuongeza mapigo ya moyo. Watu wenye matatizo ya moyo, figo na ini wanatakiwa wamshirikishe daktari kwanza.

Hiyo ya mkonge ni san pedro cactus?

Je walichanganya na vitu vingine au ulikunywa maji ya mkonge pekee.




Psychedelics (ayahausca, mushrooms n.k) zina kemikali zinazopatikana kiasili kutoka kwenye mimea na fungae, ambapo zikiingia mwilini (kwenye ubongo) zina "reset" connections za neurons (seli za ubongo).

Kwa makabila ya watu wa Amazoni (Amerika kusini) ambao wametumia hizi dawa kwa miaka elfu na elfu, wanaamini ukinywa dawa hizi, zinakufanya uwe "in tune with nature".

Watoto (chini ya miaka 5) wanakuwa ni wa kiasili zaidi, wana furaha, wana imagination na hawaamini katika limitations. Dawa hizi zinakurudisha utotoni.

Ubongo wa mtoto unakuwa na network kubwa ya kusafirisha taarifa, ndiyo maana mtoto anaweza kujifunza lugha yoyote ile bila shida na kama akigombana na mwenzie baada ya muda anapotezea. Hii ni kwasababu ubongo wa mtoto hauna njia maalumu ya kupitisha taarifa, njia zote zinaweza kutumika.

Kadri mtoto anavyokua, ubongo unaanza kuwa na uvivu wa kutengeneza njia mpya za kupitisha taarifa, yaani bongo unaanza kutegemea zile njia zinazofahamika. Ndiyo maana kadri mtu anavyokua inakuwa vigumu kuacha tabia zake (mbaya au nzuri).

Psychedelic inachofanya ni kuangali zile njia zinazotumika mara nyingi kupeleka taarifa fulani (mfano hamu ya kutaka kuvuta sigara) na kuziziba. Psychedelics zinaweza kujua hivi kwa kuangalia kiasi cha damu inayopita sehemu hiyo (kulinganisha na sehemu nyingine) na kupunguza ili kiasi hicho kiwe sawa na kwingine.

Kwa kuwa ubongo ni "information superhighway", taarifa lazima ziende kutoka sehemu moja hadi nyingine. Na baada ya sehemu moja kuzuiwa na psychedelics, ubongo hutafuta njia mpya (ambayo zilikuwepo lakini hazitumiki) na kupitisha taarifa hapo. Muda mwingine zile taarifa (hamu ya kuvuta sigara) zikiwashwa zitapitia njia nyingine kabisa na hivyo kuufanya ubongo kuongeza network kuubwa ya kupitisha taarifa na kusababisha mtu kuacha addiction kabisa.

Kwahiyo baada ya kumaliza "trip" (kulewa), ubongo unakuwa "reset" kwa kujenga neuro pathways nyingi. Mtu anakuwa hana tena stress na worries. Na effect ya mimea hii (psychedelics) ni tofauti na ya drugs kama adderall, caffeine au hata cannabidiol (bangi) ambapo baada ya ingredients kuisha mwilini, mtu anarudia hali ile ile aliyokuwa nayo mwanzo.
Chamoto
 
Wapi terminal 1A kwenye hii pichako? I think your brain is starting to decay.
JKIA has only one terminal you muppet the so called terminals by kiberaeans are infact sections within a single terminal.
 
JKIA has only one terminal you muppet the so called terminals by kiberaeans are infact sections within a single terminal.
What's a terminal according to you? I think we should start from there so that I can know whether I'm engaging human being or a goat.
 
Back
Top Bottom