Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile greenfield iliishia wapi ?? 😆😆😆 mumebakia kutapatapa na airport haina mvuto nimeskia juzi mvua imenyesha maji yameingia mpaka ndani je ni kweli 😆😆😆
Weka aerial ya jnia nikuonyeshe kitu
2858083_images_59.jpeg
2858956_images.jpeg-80.jpg
 
Hicho chuo hata kulipa pesa ya waalimu na wakata majani haina itaweza kulipa hio pesa kwa wanafunzi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom