Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tunasonga pole pole, number 13.13 remaining! U only showed 7 air bridges!
Tunasonga pole pole, number 13.13 remaining! U only showed 7 air bridges!
Ww peleka ukichaa wako kariobangi...hata aibu huoni..next aje aliye timia na kuniletea picha kama hiiKipofu., yaani just a section of Mombasa hapa.., hakuna Mwembe going towards Changamwe which is even denser., kupata aerial view mombasa sio rahisi due to security restrictions.., hii hapa size ya Dar, wewe kalilie kwa choo..,
View attachment 1873725
Naweza kuhesabu all these![]()
buildings moja baada ya nyingine, hakuna kitu hapa ni photography tu., zaidi ya hapa hakuna kitu Dar, ni angles mtachezea around the three towers.., ziko hapo kando ya hii picha..,
View attachment 1873726
apo kunya nzimaGolden Tulip Hotel Zanzibar
Chizi kaingia kwenye genge la wauni chunga ..wacha kujitoa akili....usije guswaMombasa inatosha, Kiswahili wacha vijiweni wewe..,
wewe umeweka same same area different angles., Mombasa nakupa two different areas..,
Sehemu mbili tofauti kabisa, bila kurudia.,![]()
![]()
.
View attachment 1873734
From Buxton facing Kizingo area..,
View attachment 1873735
Hiii uchafu ata hapa tu haitoboiHii takataka naipatia Parklands.., ama Kilimani.., angalia mji unafanana kishamba shamba..,
View attachment 1873739
Kilimani far better!!.,
View attachment 1873740
Ilala haiwezi karibia Parklands.., tofauti iko wazi sana., kiswahili weka pembeni.., Mombasa ndio size ya Dar.,
View attachment 1873741


Dar vs nirobary & mombasaThat's 15! umeanza wizi! 🤣 🤣 🤣 🤣 !
Mwaka wa tatu huu hakuna majibu ya hio picha. Hakuna.Ww peleka ukichaa wako kariobangi...hata aibu huoni..next aje aliye timia na kuniletea picha kama hiiapo kunya nzimaView attachment 1874157
turudishe route ya SA nategemea kuona na nairobi inaanzaafter 7 months, hatimae inafika home
Matatizo si yale yale kama ya awali..ya yule mkulima..hata hii naskia ili chelewa kulikuwa na issue canada ndo waka clear..nimemsikia MD anasema South kuna matatizo ya kisheria.. nairobi waziri kaiongelea pamoja na kule DRC lumbumbashi
ila soko la ndan limeeleweka tayar, nyingine mbili mpya za airbus zilizoorderiwa zitatuwezesha kufanya soko la kikanda kukaa mahali pake.. mdogo mdogo tu