Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipofu., yaani just a section of Mombasa hapa.., no Mwembe going towards Changamwe which is even denser., kupata aerial view mombasa sio rahisi due to security restrictions.., hii hapa size ya Dar, wewe kalilie kwa choo..,
View attachment 1873725

Naweza kuhesabu all these buildings moja baada ya nyingine, hakuna kitu hapa ni photography tu., zaidi ya hapa hakuna kitu Dar, ni angles mtachezea around the three towers.., ziko hapo kando ya hii picha..,
View attachment 1873726
Hapo dar gorofa nyingi unazo ziona hapo ni 10 floor wakati picha ya mombasa ni 3 to 5 floor,
Wewe jiulize ukimtupa mkenya hapo katikati hatatoka kweli hii ndiyo sababu ya wakenya kupotea sana kila siku wakiwa dar
View attachment 1873794
 
picha ya zamani sana (over 3 years back) kabla ya electrical SGR!
Still hakuna any meaningful change hapo.., it is the over 90% ya town yenu with all the main towers ndani, zenye huwa mnaweka angles tofauti tofauti, same area tu..,
 
Mwenye macho haambiwi tazama, mumeanika mji wenu wote humu., Kila kitu Kiko wazi, maneno yako yanabakia tu kukua maneno, ukweli umesimama kidete, ama wima.,😂😂
Naipori ikiwa katika ubora wake

2825554_50126BFD-790A-4B61-9A55-37508F63D104.jpeg


2825556_38507C88-B9BF-4BAD-922B-F2D68B0BF362.jpeg


2825546_F2AE43E2-17F2-4D2C-80CE-C2B9C8885F07.jpeg


2825541_17555FC4-0971-4705-9566-B775547F50F9.jpeg


2824367_JamiiForums1763344556.jpg


2798737_JamiiForums-2086965553.jpg
 
Onesha oysterbay Morocco kijitonyama mwenge tegeta mikocheni kwenye hiyo picha yako
All those residentials kazi zao tulimaliza, moja baada ya nyingine kaka yako fulani aliishiwa pumzi njiani, kwa sasa tuko central business areas, of which kazi yake kwisha., hakuna kingine cha ajabu Dar., ni mji wa kishamba tu.., ama kuna jipya uweke hapa sasa hivi nione?.., 😂😂😂😂😂
 
Hii place imelala kweli kama jinake 😂🤣 😂, all I can see here are dream houses everywhere na barabara za matope🤣🤣😂
dar is slum indeed, this time round hawana pa kutokea., wakijaribu propaganda nawaumbua wazi wazi.., Tanzania iko na city moja tu., na ni hii funny looking Dar is slum.., 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom