Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeambiwa profit ya eabl wewe unaleta revenue ya tz breweries, 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
2E409790-C136-4A56-B1CB-8EC57D3BB824.jpeg
 
Wana roho mbaya acha kabisa 😆😆😆 yani ahawataki kuona tanzania ikipata kitu chochote kizuri hawataki wao
Wenyewe kwa wenyewe awapendani ndio watatupenda sisi bro,hao mahayawani wamelaaniwa sababu ya chuki na ubaguzi
 
Lupita umuambii kitu na serengeti,basi kuna watu roho zinawauma vibaya yan
 

Attachments

  • 221861585_223881182950865_1357972480255195221_n.mp4
    2.9 MB
I have never seen a stupid person in this forum like ichoboy01 , the guy's brain is porous 😂😂🤣😂

Goodnight to you idiot.
 
Shukran sana kwa hii picha, nimekua nikiitafuta tangu kitambo na nilijua lazima utajitia udoleView attachment 1873422
Ila katika wakunya vilaza wazee wa kupinga ukweli ebhana wewe ni namba moja, ni kichaa tu ndio atakuelewa wew, huwezi linganisha ule uchafu wenu na JNIA hata siku moja, ni vitu viwili vya era tofauti kuanzia majengo na vitu vingine vingi tu
 
Back
Top Bottom