Wang Yi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2021
- 209
- 457
Halafu kuna nyau mmoja anaitwa Uchaguzi mkuu 2025 anawazoom tu wanavyobabaika.Mapicha picha kibao hata hawaeleweki wanafaa wachague upande mmoja na wasimamie maneno yao kama jpm, haya yote ni kumfurahisha mzungu atupe mkopo tuu


