President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,793
JNIA moto uko pale pale
Umekasirika, hzo ndio levels zako kuna mpka watz hko wenyewe wanapoa2Miss kibera baby
Kweli wa kenya muko na shida mobu
Nyinyi hata jehanam mnaishi cheki watu wa nairobi wanapo ishi hawa watu siyo binadamu wa kawaida
Kenya slum vs dar es salaam dampoView attachment 1868720View attachment 1868721


Sabbatical si alijua kukuumiza na ile video yake moka ukamuita maskiniTrue ilo eneo pekee lina ghorofa zaidi ya 600 wakati kanai Kote kana ghorofa 213 tuView attachment 1868728


Godown lenu hili hapa


KabisaJNIA moto uko pale pale
View attachment 1868761
View attachment 1868762
View attachment 1868764
View attachment 1868766


Unahaha unaleta picha ya wakati wa ujenzi. 🤣 🤣🤣 Unahaha
Ukiwa muongo lazima uwe na akili umeona wapi B737 ibebe more than 300pax labda seat configuration aa matatuu ndio maana ndege nyingi Kenya huanguka kila siku kumbe overloadingYour argument still doesn't make sense, JKIA can handle more than five Boeing 737 each with more than 300pax at a go, that's 1,500pax alighting at the same time. So what makes you think 500 is a problem to JKIA?![]()
JNIA is a low life airport in the league of Entebbe airport. There is no way you can call yourself andvanced yet you can't even do 2.5M passengers per year.
View attachment 1868534
What of Mombasa and Kisumu in kenya, unajua annual passenger numbers kweli ama nikukurupuka tu?t
Tafauti ya kenya na Tanzania ni hii Kenya Main Airport ni moja kwa tourist and business .But Tanzania ni 3 Airports for business JNIA(Dar es Salaa,m ,KIA(Kilimanjaro) and Zanzibar.Hivyo lazima idadi iwe ndogo kilingana na ,mgawanyiko.
Haujui chochote, leta admission form ya Dodoma university nitakulipia karo semi-illiterate., utaelewa mambo soon 😂 😂Yani nyinyi kufikia dar ya sasa mutasubiri miaka 50 na kupata BRT muvunje hio thika yote ambayo bado inadaiwa na AFDB 😂😂 ndio muote BRT
Na ili mupate electric bullet kwa sasa uzeni ile mapipa ya gongo na mufunue reli nzima huku deni la mchina linatafuta kende zenu
Expressway kuimiliki kwa sasa ili mchina asichukue toll fee kwa miaka 30 na ili mvunje mkataba labda mutawaliwe na mchina kwa miaka 10 😆😆😆😆😀