Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Hohoho msimbazi ni kubwa labda kuangushwe nuclear bombs tatu.Hizo nyumba zote zilivunjwa, hapo kuna engineering inaendelea to make the place attractive for tourism.
Hohoho msimbazi ni kubwa labda kuangushwe nuclear bombs tatu.Hizo nyumba zote zilivunjwa, hapo kuna engineering inaendelea to make the place attractive for tourism.
Jubilee ipi ilioipelka kenya kwenye madeni yasiolipika ya over 80% debt to GDP ratio au ipi 😆😆😆😆😆Wewe unajua sana kuliko jubilee ausio?
Weka jina la eneo nikuonyeshe kituOne pic is enough 😂😂😂View attachment 1865122
Wewe tanzania umeipeleka wapi kwaniJubilee ipi ilioipelka kenya kwenye madeni yasiolipika ya over 80% debt to GDP ratio au ipi 😆😆😆😆😆
Nairobi ya zamani looks dope than Dar ya sasa 😂 😂 😂
View attachment 1864662
Dar 2020 -2021..,
View attachment 1864664
Hii huitaki 😆😆😆👇👇👇👇Nairobi ya zamani looks dope than Dar ya sasa 😂 😂 😂
View attachment 1864662
Dar 2020 -2021..,
View attachment 1864664
Kilimani ndani, westland ndani, parkland ndani tunashindana nn sasa hapa 😂😂😂
Aloooo hutoroki, rongai vs kijitonyama
Umeona alivyorudishwa shule
Aliekwambia kijitonyama nani hio ni sam nujima road jengo hili hapa ona ulivo fala 😂😂😂👇👇👇👇👇 hapo panaitwa mawasiliano na sio kijitonyamaAloooo hutoroki, rongai vs kijitonyamaView attachment 1865135
Umeanza kuchanganyikiwa kijitonyama iko wapi hapo ukinionesha tu nafunga acc 😂😂One pic is enough 😂😂😂View attachment 1865122
Kwani hupajui hapo 🤣🤣🤣🤣 umeanza kuchanganyikiwaWeka jina la eneo nikuonyeshe kitu
Enzi za moi bana, jamaa wajua mpka sasa tz shule wanachangisha aisee


Alooo unafananisha rongai na commercial area. Anyway bado inachapwa tuAliekwambia kijitonyama nani hio ni sam nujima road jengo hili hapa ona ulivo fala 😂😂😂👇👇👇👇👇 hapo panaitwa mawasiliano na sio kijitonyama
View attachment 1865137
Vichochoro kibaoDar bila filters. Urban decay noma. Onenin hio ghorofa imejaza water tanks on every floor, shidaaaaaaaaaaaa.
![]()
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tena hii picha nilikua naitafuta sana 👍👍 asante bro kwa kupost one of the best pic asante sana sana ubarikiweAlooo unafananisha rongai na commercial area. Anyway bado inachapwa tuView attachment 1865143
Huna akili wewe 😀😀😀Hospitali ya rufaa ndogo hivo with just one building?