ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hiii picha nairobi ikifika hatua hiii nitag mm bro 😆😆😆Alooo unafananisha rongai na commercial area. Anyway bado inachapwa tuView attachment 1865143
Hiii picha nairobi ikifika hatua hiii nitag mm bro 😆😆😆Alooo unafananisha rongai na commercial area. Anyway bado inachapwa tuView attachment 1865143
Ushuzi wa bataVichochoro kibao
Aai hospitali za rufaa najua are usually big nini hiyo imejengwa kama I cheaply built mallHuna akili wewe 😀😀😀
2022 bado watu washaanza kunyukana 😂😂
Alooo tufikie uswazi, no thanksHiii picha nairobi ikifika hatua hiii nitag mm bro 😆😆😆
Mama ngina aliwatia ukichaa 😀😀😀😀Ushuzi wa bataView attachment 1865144
Kama hio ni uswazi basi nimeamini kwann mzungu hakuona slum dar na hataiona mpaka dunia inasmama 😂😂😂😂Alooo tufikie uswazi, no thanks
Kwani kunyukana hua kunaanzia kwa style hio au ww hujui moto huanza na moshiThose are protest si kunyukana
Hio ni phase one na imejngwa na magufuli just two yrs ago na ni very modern hospital ambayo itahudumia mpaka mozambique and malawi weka akilini hio 😂😂😂Aai hospitali za rufaa najua are usually big nini hiyo imejengwa kama I cheaply built mall
That's 1970Mama ngina aliwatia ukichaa 😀😀😀😀View attachment 1865149
Hata mm naona ni 1970 😂😂😂 bado una stress za bullet trainThat's 1970
🤣🤣🤣🤣🤣 that small thing? Hospitally ya rufaa should have diffrent sections differently where are the wards ? Where is the doctors plaza where is the emergency unit? Where is the cancer center? All those crambled together???Hio ni phase one na imejngwa na magufuli just two yrs ago na ni very modern hospital ambayo itahudumia mpaka mozambique and malawi weka akilini hio 😂😂😂
Ebu post picha ingine nikuonyeshe kitu.Mama ngina aliwatia ukichaa 😀😀😀😀View attachment 1865149
Hii hapa napost kwanza ijibu 😂😂👇👇Ebu post picha ingine nikuonyeshe kitu.
Ww unamacho kweli ??? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 that small thing? Hospitally ya rufaa should have diffrent sections differently where are the wards ? Where is the doctors plaza where is the emergency unit? Where is the cancer center? All those crambled together???