Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu haya ma apartments ya kenya ni balaa na ndiyo maana huwa hawaleti picha za karibu, Watz tumshukuru Mungu kutupa nchi kama hii ambayo mtu unamiliki ardhi, wenzetu wanarundikwa kwenye jengo moja maelfu ya watu, yn kumbe Kenya ni bora India onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210723-133746.jpg
Screenshot_20210723-133722.jpg
Screenshot_20210723-133816.jpg
Screenshot_20210723-133833.jpg
 
Wakuu Kenya ni Mavi, haya ndio ma apartments wanayaficha huwezi kuona wanayaweka humu, yn kuna picha zingine unaweza zani ni ma slums ya India [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210723-133955.jpg
Screenshot_20210723-134011.jpg
Screenshot_20210723-134027.jpg
 
Huwa mnaonesha only 5km za hiyo elongated flyover kwamba ionekane yote imeinuka au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inaonyesha ni jinsi gani unaumizwa na hii barabara, maskini [emoji1787][emoji1787]
Tuletee hzo 22km ukiona upupu uliotapakaa km kwenu ni tag
 
So your bedsitrer if not a single room as I put it earlier then must be 3/4 room house right? Living/bedroom, toilet and kitchen according to you ama sio?
Google itakusaidia kaka., akili fupi..,
 
Kumbe ndo mana Dar inaongoza kwa real estate value, madude yao ni very cheap aloo, yn building moja Tz unapata karibu majengo 50 kenya, hivyo hivyo hata kwenye real estate hesabu ndo hiyo hiyo, ona ma apartments haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210723-142733.jpg
Screenshot_20210723-142752.jpg
Screenshot_20210723-142846.jpg
Screenshot_20210723-142902.jpg
 
Kumbe ndo mana Dar inaongoza kwa real estate value, madude yao ni very cheap aloo, yn building moja Tz unapata karibu majengo 50 kenya, hivyo hivyo hata kwenye real estate hesabu ndo hiyo hiyo, ona ma apartments haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864559View attachment 1864560View attachment 1864562View attachment 1864563
Ukimaliza na wewe utuonyeshe watu wa kipato cha chini dar wanapatikana wapi tuje tulinganishe[emoji1787][emoji1787]
 
Watueee!!amkeni jamaa amekasitika..
Post kabisa pucha za ghettos[emoji1787][emoji1787]
Hzi ndio nyumba za watu wa kipato cha chini
Ghetto eehh, maamaeee kumbe unajua residentials za Nairobi zinakaa ghetto ndo mana hamtaki battle ya residential ya maisha ya kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu haya ma apartments ya kenya ni balaa na ndiyo maana huwa hawaleti picha za karibu, Watz tumshukuru Mungu kutupa nchi kama hii ambayo mtu unamiliki ardhi, wenzetu wanarundikwa kwenye jengo moja maelfu ya watu, yn kumbe Kenya ni bora India onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1864535View attachment 1864536View attachment 1864537View attachment 1864538
Post violence photos..asante sana kw picha za 2007
 
Ghetto eehh, maamaeee kumbe unajua residentials za Nairobi zinakaa ghetto ndo mana hamtaki battle ya residential ya maisha ya kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taja unataka kushindana na mtaa gani kw residential tushindanishe sai[emoji1787][emoji1787]
Nishamkimbiza
 
Back
Top Bottom