Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Ulikua hiyo barabara ikijengwa tokea mwanzo?., walichimba, hapo ni ndani ya hilo shimo., level ya usual road ipo juu yake kilaza kweli , uwezi kulazimisha fikra zako ziwe ukweli ilhali haujui chochote😂😂😂., Mko ovyo sasa mnaanza kuumbuliwa na wenzenu, nilisema huu uzi upelekwe habari na hoja mchanganyiko ama Jukwa la siasa muone vile watanzania wasema ukweli watawaumbua.Tunnel haiezekwi kama msonge wa makuti, inachimbwa chini ya ardhi, ni ardhi gani iliochimbwa hapo?

