umeandika kwa uoga sana😂😂😂 ona unavyo jikinga kwa masharti kisa unajua kile utapata,😂😂😂😂, nikama na mimi nikuambie leta picha ya national park 20 km from dar na iwe na wanyama😂 😂 😂 eti na iwe mpya kabisa, kilaza wewe😂😂😂 ila nitakujibu tu kwa vile hii ya estates hamuwezi kamwe, zipo..,
ama utaanza wimbo wa kukana Nairobi metropolitan kwa vile inawaumiza zaidi..,😂😂😂
Just a taste
Syokimau..,
View attachment 1852518
View attachment 1852520
Green Park, Off Mombasa road, Athi
View attachment 1852526
View attachment 1852530
View attachment 1852531