Dar hapa ingekua maeneo ya CBD.., Easleigh💪🔥🔥 aka Mogadishu ya NairobiConcrete jungle?
Eastleigh is not part of cbd watanzania
View attachment 1853299View attachment 1853302View attachment 1853304View attachment 1853306
Nje ya Dar CBD haupati kama hii., si umeona Westlands peke yake ina nyorosha the best parts of Dar CBD.,including the three towers 😂😂😂😂.,
Ila kusema kweli unaharibu dhana nzima ya threadSame buildings. Nairobi imekwisha Mzee.
Dar ni ya moto sana. Dar is Blue, Nairobi is Red. Nairobi ni chafu.
View attachment 1853246View attachment 1853247View attachment 1853249View attachment 1853250View attachment 1853251View attachment 1853253View attachment 1853254View attachment 1853255View attachment 1853258View attachment 1853259
Usiishie hapo hata za hong Kong tupia kwani tumewazoea
na hawatoweza



Kwa wakati huu wanachapa barabara ya juu kisha ya chini babaa...mabo zaidi ya ulayaView attachment 1853357
27 kilometers barabara ya juu kwa juu.. the longest in africa..it had to be Kenya my nigger
hayo masuala ya metro si point ya msingi kiafya,tunachotaka nairobi isimame pekee hiyo hoja ya kuunga unga county nyingine kwa kisingizia metro hiyo hoja haina mashiko.Your longest dual carriageway is only 40km. That's the point I am trying to pass across. Sijasema magari zinapaa angani.
Nairobi is a metro kijana. Hizo barabara tunazionyesha coz vyanzo vyao ni Nairobi. Nairobi isingekuwepo labda hizo barabara pia hazingejengwa hayo maeneo mengine. Wewe tuonyeshe dual carriageway iliyopitiliza nje ya mipaka ya Dar tuone