Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Unadhani Nairobi ni mji wa barabara moja Kama dar?๐๐๐Leo mmethibitisha kuwa Nairobi ipo na only two Dual carriageways.
University Way.
Unadhani Nairobi ni mji wa barabara moja Kama dar?๐๐๐Leo mmethibitisha kuwa Nairobi ipo na only two Dual carriageways.
Miji mingi mikubwa iko hivyo, dowtown na maeneo yanayoizunguka yanakuwa yameungana. Kama mgeni huwezi juwa downtown inaanzia wapi na kuishia wapi.Dar hakuna uptown, the whole city inakaa downtown. Riveroad Nairobi vibe everywhere, vibanda and old unmaintained houses side by side with glass towers. Nilichoka sana ile wakati nilikua huko. Zero zoning laws everywhere. Unatoka Kariakoo kama umeingia CBD na hata huwezi notice ju all the place inafanana tu.
Hii battle ni ya Dar versus Kunyaland nzima ๐ ๐ ๐Kam hizo barabara ziko outside Nairobi then hiyo inafaa ukuonyeshe development in Kenya haifanyiki Nairobi pekee like Tanzania where development iko dar pekee, infact other counties have better roads than entire Tanzania.
Leo nataka mtanzania yeyote ajitokeze tulinganishe Machakos County, Kiambu County and Kajiado County with any region in Tanzania.
Nairobi GDP is $60B, Tanzania GDP is $60B.Hii battle ni ya Dar versus Kunyaland nzima ๐ ๐ ๐
Pamoja na Dar kupambana na counties 5 Kunyaland nzima bado zinachezea kichapo cha mbwakoko
98% out of naipori-slums-everywhereThis is actually a continuation of Thika road which makes it 140km continuous dual carriageway.
Kunyaland gdp ni 90$b so 80% ya all economic activities zipo naipori-slums-everywhere nchi nzima ni jangwa lisilo na maana kwenye mchango wa gdp sio? ๐ ๐ ๐Nairobi GDP is $60B, Tanzania GDP is $60B.
Mzee kichwani mwako kuna ubongo au umejaza upepo. Nyie mliweka Mombasa road which is not dual carriageway.Unadhani Nairobi ni mji wa barabara moja Kama dar?๐๐๐
University Way.
View attachment 1852416
Because Dar is a very Big MetropolisClueless motherfuckers donโt even know DARSLUM![]()
Hii ndio three level interchange!kama tu ni three levels ndo unatafuta... habari ndo hio.. kenya hakuna nini iko tz jameni..View attachment 1852238

Ya moto kbs!!!!![]()
Kenya ranks high in inequality among African peers - report
Earnings among the richest 10 per cent increased from 36 per cent in the 1998/99 financial year to 58 per cent in 2005/2006.www.standardmedia.co.ke
Redhill road, naona wametuma chizi avuruge
View attachment 1852175View attachment 1852178View attachment 1852179


wazee wakuchimba chimba udongo,,,
wao wanachimba udongoIla we ni mjinga sanaizo vikitu unaita interchange zipo kibao kwenye barabara ya KIMARA KIBAHA pekee, heb ngoja nikuonyeshe kwamfano
View attachment 1852307View attachment 1852308View attachment 1852309na kamwe hutomskia mtanzania anazumngumzia hiz hata siku moja.. kwenye barabara hii pekee zipo zaidi ya kumi



Mombasa road has been dual carriage for many years!! since Moi's regime.., ama haujui maana ya dual carriage?.., lishamba ๐ ๐ ๐Mzee kichwani mwako kuna ubongo au umejaza upepo. Nyie mliweka Mombasa road which is not dual carriageway.
The length of Dual carriageways in Nairobi is only 96km but in Dar more than 160km
tunawachora tuu,,wacha wajifurahisheWakuu kuweni makini na hawa wakunya
Hakikisheni kweli hizo barabara zao zipo naipori-slums-everywhere
Utafiti unaonesha barabara zote hizo 80% zipo outside naipori-slums-everywhere, ukikaa vizuri ukakagua utaona naipori ina dual carriageway isiozidi 20km tu
Mimi naona hawataki kabisa kuniquote sababu wanajua balaa langu sio la bara hili, jana nimewathibiti mpaka wakatoweka kabisa, wamesubiri nimelog off ndio wakarudi kunengua![]()
Watu wa kabila la Igbo walia sana kwamba Kenya imeteka nyara mkubwa wao na kumhand over to Nigerian authorities. Kwenye hii demonstration huko London, kinachonichekesha ni jinsi huyu Mnigeria anasema Kenya ina huge embassy, huge embassy. Kwani embassy ya Nigeria huko London ni ndogo kasi gani?
Kuja pole pole bro., usifanye watu waihame uzi ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kam hizo barabara ziko outside Nairobi then hiyo inafaa ukuonyeshe development in Kenya haifanyiki Nairobi pekee like Tanzania where development iko dar pekee, infact other counties have better roads than entire Tanzania.
Leo nataka mtanzania yeyote ajitokeze tulinganishe Machakos County, Kiambu County and Kajiado County with any region in Tanzania.