Dar haupati such view ya residential.., itakua low life residentials..,
View attachment 1853380


mshamba ni bora urudi village tu hakuna unachojua kuhusu dar ila ni kweli maana hivyo vichaka sisi hatuna kwa hiyo view yetu haiwezi fanana na yenu sababu yenu ipo empty jitahidini kujenga bado sana mnafuga nyani.Kiswahili weka pembeni., weka hapa evidence, nikuumbue sahi.., siongei porojo..,mshamba ni bora urudi village tu hakuna unachojua kuhusu dar ila ni kweli maana hivyo vichaka sisi hatuna kwa hiyo view yetu haiwezi fanana na yenu sababu yenu ipo empty jitahidini kujenga bado sana mnafuga nyani.
Malisaaaaa yeye 😂😂😂😂😂Ila kusema kweli unaharibu dhana nzima ya thread
Serious una-bore, wacha kudanganya mshikaji! Mbona uchukue picha za sehemu nyingine na kudai Dar? Umekuwa Mkuwa Mkunya ama?
- Lazy Lagoon ipo Bagamoyo
- Pili umechukua moja tuu the luxury villas & nature retreat Zanzibar
Hakuna dual inafika chanika stop forcing issues and tell your government to work.QUOTE="Lusematic, post: 39631980, member: 413388"]
hayo masuala ya metro si point ya msingi kiafya,tunachotaka nairobi isimame pekee hiyo hoja ya kuunga unga county nyingine kwa kisingizia metro hiyo hoja haina mashiko.
ndani ya nairobi hupati huu ujazo vinginevyo ukimbilie kwa Mr.metro hapo ndipo utakuwa umefanikiwa kuescape komboraView attachment 1853378