Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ain't sure if I can find an updated one but lemmie show you the cbd
Nakwambia hivi hizi picha mbili ni kwamba moja wkt road ikiwa mpya ya pili ni tayari road ishachakaa kwa uchafu wenu uliokithiri, ss nioneshe road hii ikiwa safi mana mkunya mwenzako anasema low quality picture[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums154579591.jpg
 
Usijichokeshe bro, hio picha nimempostia ni recent. Uwivu ndo inawauma kama kawaida.
Recent eehh maamaeee, Kenya na usafi wapi na wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mda si mrefu waume zenu waingereza wanaenda kuchukua kombe lao, leo nitakuwa pamoja na nyie wakenya kushabikia waume zenu England.
 
Imejengwa hivyo kwa sababu ya speed, ilo bichwa la kondoo limejengwa kwa mibati mibati cz speed tortoise [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu chochote kimejengwa kimabati mabati ni classy take for example the defender ya kimabati ni kenyan train the plastic plastic one ni tz train na ni hybrid 🤣🤣🤣🤣 now choose
images - 2021-07-11T213029.744.jpeg
images - 2021-07-11T213104.991.jpeg
 
Kwahiyo nikusikilize wewe au co [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro Kuna kitu inaitwa census it's in public domain just get the kenya latest census and see how many guys kibra had, simple. why are you acting stupid and I know you ain't ??
 
When it comes to rugby we roar we one of the top teams in the world tumechapa Zambia 45-8 in the rugby african cup
 
We ni wazimu that's a high speed train and tanzania imejenga standard gauge railway not ment for high speed ama you never knew what SGR in full stood for??? It means standard mark my words "standard" not high speed
Mboma unaumia sana mzee
Hiyo ni EMU max speed ni 165km/h. Inaitwa
ITX-Saemaeul Intercity EMU
Ushamba wenu unataka tulingane!?
Screenshot_20210711-220429.png
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.

Ukisema mzanzibari ni mtanzania na anakitambulisho cha tanzania 😂😂 sasa ww endelea kuungua maumivu huko huko uliko
 
'Sisi tunaconnect villages, tumebakisha vijijini 2000 tu', alisikika mtanzania mmoja akisema 😂 😂 😂



 
Back
Top Bottom